Naumwa figo

Naumwa figo

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
828
Nilipimwa juzi ,katika dispensar maeneo ya kigogo,,sasa nimegundulika na tatizo la figo,,nimeambiwa ni imfection,,bacteria wamepanda kutoka kwenye kibofu cha mkojo mpaka kwenye figo, nikapewa antbiotic na dawa nyingine, na kuchomwa sindano moja,,kwenye mshipa,,,,kesho yake maumivu yaliongezeka.

Nikampigia dkr anaenitibu akaesma nikapige utrasound,,,sijaenda, na maumivu yanapungua,,je hakuna dawa nyingine ambayo naweza itumia baada ya hii kuisha?je huu ugonjwa ukoje/swala la kupona vipi/
 
Pole sana ingawa uzi haupo mahali pake.Ungetusaidia vizuri kama ungeweka majibu ya vipimo ulivyofanyiwa lakini nakusihi na nakuomba uende hospitali kubwa ambapo watafanya kipimo cha kuonyesha ufanisi wa figo zako,kipimo kama serum creatinine na urea.

Jambo la pili zahanati za binfsi hapa Tanzani bado hazina ufanisi mzuri ni afadhali hata utafute private clinic ya Daktari bingwa (ingawa wakati mwingine ni ghali). Pole sana ndugu yangu na usikose kutujulisha maendeleo yako.
 
Huwezi kupimwa na kugundulika kama unaumwa figo katika dispensary jamani. Halafu hayo madawa unayotafuta kujiongezea ujue yanaenda kuongeza mzigo kwenye figo zako. Nedna proper hospital, ufanyiwe vipimo zaidi na.kupewa jibu la uhakika.
 
Mkuu nenda hospitali zenye ma specialist wa figo muhimbili, aga khan, hindu mandal etc

kama kweli unajipenda zama mfukono, usifanye masihara na kuumwa figo,
 
Wala haitaji kwenda kumwona specialist, ila aende hospital ambazo zipo well equiped, ila dispensary kwa bongo hazina kitu, may be kama kuna MD Dr anafanya part time naweza kukubaliana na Dx. Lakini kama ni zile zinazo tumia ma CO na AMO i don't believe it. Aende peramiho pia papo well equiped.
 
nenda mwananyamala utapona mm nilikuwa na tatizo hilo nilienda mwananyamala nikapona. bt nenda mwananyamala ila uwahi asubuhi. Ili wakufanyie ultrasound
 
Back
Top Bottom