FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana ,
Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression nimeshajifanyia utafiti ,fatigue sioni chochote
Lakini ninaumwa mwili wote ,Ninasikia kichefuchefu,Sina hamu ya kula ,kichwa kinauma kwa mbali ,ninachoka sana yaani nina magonjwa mbadala mengi mengi,not happy ,sijisikii hata kuongea ,sipati hamu ya kula,mie ni mpenzi sana wa maji nakunywa mpaka lita tatu au nne za maji ,lakini sasa hata 1.5 Lts inanishinda
Please Note : Ninanyonyesha mtoto bado ni under one year.
Ni nini jamani ,?