Naumwa hata sijui nini, Nipeni ushauri mbadala

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana ,

Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression nimeshajifanyia utafiti ,fatigue sioni chochote

Lakini ninaumwa mwili wote ,Ninasikia kichefuchefu,Sina hamu ya kula ,kichwa kinauma kwa mbali ,ninachoka sana yaani nina magonjwa mbadala mengi mengi,not happy ,sijisikii hata kuongea ,sipati hamu ya kula,mie ni mpenzi sana wa maji nakunywa mpaka lita tatu au nne za maji ,lakini sasa hata 1.5 Lts inanishinda

Please Note : Ninanyonyesha mtoto bado ni under one year.

Ni nini jamani ,?
 
Pole suburi waje wataalam wa afya labda watajua tatizo lako ni nini
 
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana ,

Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression nimeshajifanyia utafiti ,fatigue sioni chochote

Lakini ninaumwa mwili wote ,Ninasikia kichefuchefu,Sina hamu ya kula ,kichwa kinauma kwa mbali ,ninachoka sana yaani nina magonjwa mbadala mengi mengi,not happy ,sijisikii hata kuongea ,sipati hamu ya kula,mie ni mpenzi sana wa maji nakunywa mpaka lita tatu au nne za maji ,lakini sasa hata 1.5 Lts inanishinda

Please Note : Ninanyonyesha mtoto bado ni under one year.

Ni nini jamani ,?

Hakuna changes zzt? Km za mazingira au chakula? Isije kuwa umepatwa na mabadiliko fulani.
 
huo ni uchovu tu, jitahidi kupumzika na kunywa maji mengi, ikiwezekana badilisha na chakula....
 
...,kichwa kinauma kwa mbali ,ninachoka sana yaani nina magonjwa mbadala mengi mengi...
nakushauri ukapime damu ucheck blood count, naogopa kukuambia utumie iron tablets, kabla ya kujua tatizo, ila hizo dalili ni kama damu imeshuka sana (anemia), ni vizuri kucheck usimeze tu. Kingine hata kama damu iko sawa tumia vitamini b-complex na multivitamins, ninakushauri utumie unapoamka kabla hujala kitu chochote unakaa kama one hour ndio unakula breakfast, vitamin b-complex inafanya kazi vizuri kwenye tumbo lisilo na kitu hizi ni food supplements tu, ningeshauri ule vizuri na upumzike vya kutosha. Pole sana.
 
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana ,

Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression nimeshajifanyia utafiti ,fatigue sioni chochote

Lakini ninaumwa mwili wote ,Ninasikia kichefuchefu,Sina hamu ya kula ,kichwa kinauma kwa mbali ,ninachoka sana yaani nina magonjwa mbadala mengi mengi,not happy ,sijisikii hata kuongea ,sipati hamu ya kula,mie ni mpenzi sana wa maji nakunywa mpaka lita tatu au nne za maji ,lakini sasa hata 1.5 Lts inanishinda

Please Note : Ninanyonyesha mtoto bado ni under one year.

Ni nini jamani ,?

Jaman wee nami nna tatizo km lako! Tena hyo furaha nso cna kabisaa wala cjui wap imepotea..out of mood! Cjickii kufanya kitu chochote kile! Najskia kulala tu mda mwingi..nmekuwa mvivu sana na nmechoka choka tuuu yaan cjielewi! Cna ham yakufanya mapnz pia na mume wangu naona atatafuta mchepuko maana cjickiii hataaa! Cjui nna tatizo gani..umenifanya nichangie mada kilazima maana hata kuomba ushaur pia nlikuwa naona tabu! Twaomben msaada jaman tufanyeje tupate furaha na amani? Tuwe km binadam wengine??
 
pole sana mpendwa.

nakushauri utumie multvitamin, zinasaidia sana kama una tatizo usilo na hakika nalo.

ila umejumuisha neno "pregnant" kwenye magonjwa uliyopima. nadhani ujauzito si ugonjwa.

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!
 
.... Twaomben msaada jaman tufanyeje tupate furaha na amani? Tuwe km binadam wengine??
wewe ni mdada wakati unapima hivyo vyote usisahau kucheck na blood count, maana kama sio mtu anayekula vyakula vya iron za kutosha lazima utakuwa na iron deficiency sababu kila mwezi kuna damu inapotea...unaweza soma hapo juu pia, pole sana.
 
Take a holiday, be a tourist for a while kuna mazingira ukikaa tu hizo problems zinaisha hasa mazingira ambayo hujawahi enda..make a try.

Pole sana, GBU
 
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana ,

Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression nimeshajifanyia utafiti ,fatigue sioni chochote

Lakini ninaumwa mwili wote ,Ninasikia kichefuchefu,Sina hamu ya kula ,kichwa kinauma kwa mbali ,ninachoka sana yaani nina magonjwa mbadala mengi mengi,not happy ,sijisikii hata kuongea ,sipati hamu ya kula,mie ni mpenzi sana wa maji nakunywa mpaka lita tatu au nne za maji ,lakini sasa hata 1.5 Lts inanishinda

Please Note : Ninanyonyesha mtoto bado ni under one year.

Ni nini jamani ,?

bwana ametoa bwana atatwaa jina lake lihimidiwe
 
Baada ya swali lako ndugu FD kujibiwa nitakuja na hoja zaidi maana nami ni kama wewe kuelewa inanichukua muda sana .

Mdau na mimi yalinikuta hayo tangia mwezi wa 4 mwanzoni afadhali ndio napata sasa na nilishaomba ushauri hapa hyo hali nafikiri inataka kuanza kuenea kwa watu mbalimbali coz na mimi nilimaliza vipimo karibia vyote katika hospitari karibia zote kubwa za hapa dar ikashindikana ila kwa sasa nashukuru mungu naendelea vizuri na nimeanza kufanya shughuli zangu ila nakushauri pima tena dengue kama hamna mi nimeponea kwa mtalaamu wa tiba asili na maombi tu.
 
Back
Top Bottom