FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana ,
Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression nimeshajifanyia utafiti ,fatigue sioni chochote
Lakini ninaumwa mwili wote ,Ninasikia kichefuchefu,Sina hamu ya kula ,kichwa kinauma kwa mbali ,ninachoka sana yaani nina magonjwa mbadala mengi mengi,not happy ,sijisikii hata kuongea ,sipati hamu ya kula,mie ni mpenzi sana wa maji nakunywa mpaka lita tatu au nne za maji ,lakini sasa hata 1.5 Lts inanishinda
Please Note : Ninanyonyesha mtoto bado ni under one year.
Ni nini jamani ,?
nakushauri ukapime damu ucheck blood count, naogopa kukuambia utumie iron tablets, kabla ya kujua tatizo, ila hizo dalili ni kama damu imeshuka sana (anemia), ni vizuri kucheck usimeze tu. Kingine hata kama damu iko sawa tumia vitamini b-complex na multivitamins, ninakushauri utumie unapoamka kabla hujala kitu chochote unakaa kama one hour ndio unakula breakfast, vitamin b-complex inafanya kazi vizuri kwenye tumbo lisilo na kitu hizi ni food supplements tu, ningeshauri ule vizuri na upumzike vya kutosha. Pole sana.
...,kichwa kinauma kwa mbali ,ninachoka sana yaani nina magonjwa mbadala mengi mengi...
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana ,
Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression nimeshajifanyia utafiti ,fatigue sioni chochote
Lakini ninaumwa mwili wote ,Ninasikia kichefuchefu,Sina hamu ya kula ,kichwa kinauma kwa mbali ,ninachoka sana yaani nina magonjwa mbadala mengi mengi,not happy ,sijisikii hata kuongea ,sipati hamu ya kula,mie ni mpenzi sana wa maji nakunywa mpaka lita tatu au nne za maji ,lakini sasa hata 1.5 Lts inanishinda
Please Note : Ninanyonyesha mtoto bado ni under one year.
Ni nini jamani ,?
wewe ni mdada wakati unapima hivyo vyote usisahau kucheck na blood count, maana kama sio mtu anayekula vyakula vya iron za kutosha lazima utakuwa na iron deficiency sababu kila mwezi kuna damu inapotea...unaweza soma hapo juu pia, pole sana..... Twaomben msaada jaman tufanyeje tupate furaha na amani? Tuwe km binadam wengine??
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana ,
Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression nimeshajifanyia utafiti ,fatigue sioni chochote
Lakini ninaumwa mwili wote ,Ninasikia kichefuchefu,Sina hamu ya kula ,kichwa kinauma kwa mbali ,ninachoka sana yaani nina magonjwa mbadala mengi mengi,not happy ,sijisikii hata kuongea ,sipati hamu ya kula,mie ni mpenzi sana wa maji nakunywa mpaka lita tatu au nne za maji ,lakini sasa hata 1.5 Lts inanishinda
Please Note : Ninanyonyesha mtoto bado ni under one year.
Ni nini jamani ,?
Na nani anaweza kuichafua?Umechafuliwa nyota...njoo nikusafishie
Na nani anaweza kuichafua?
Baada ya swali lako ndugu FD kujibiwa nitakuja na hoja zaidi maana nami ni kama wewe kuelewa inanichukua muda sana .
dah! hiyo lugha mbona sijaielewa...Waja wasabasi.
dah! hiyo lugha mbona sijaielewa...