Naumwa homa ya ini msaada wa tiba

Naumwa homa ya ini msaada wa tiba

bill Shnky

Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
65
Reaction score
37
Kama hapo napenda kuwek hadhalan hali hi mwenye kujua tiba ya hu ugongwa wa homa ya ini hepatis b.naitaj anisaidie.ata ushaur pia ni sawa.mana dawa za hospitalin haziponyesh ndugu zangu
 
Pole sana mkuu, virusi vinavyosababisha homa ya ini ( hepatitis Bviruses) ni vigumu sana kupona.
All in all, labda jaribu kusoma hii taarifa, huenda ikakusaidia.
IMG_20180917_155543.jpg
IMG_20180917_155606.jpg
 
Sawa mkuu asante kwa ushaur wako
Binadam tmeubwa ivotndug
 
Polee sana mkuu homa ya INI ukiwah pata vipimo inawezekana kabisa ukapona so ni vema hii topic yako ukaiweka kwenye jukwaa la jf doctor utapata mengi mazur.
 
Kama hapo napenda kuwek hadhalan hali hi mwenye kujua tiba ya hu ugongwa wa homa ya ini hepatis b.naitaj anisaidie.ata ushaur pia ni sawa.mana dawa za hospitalin haziponyesh ndugu zangu
Pole kwa kuumwa na hayo maradhi Homa ya Ini aka Hepatitis B Virus ninayo dawa yake ukihitaji nitafute kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Kama hapo napenda kuwek hadhalan hali hi mwenye kujua tiba ya hu ugongwa wa homa ya ini hepatis b.naitaj anisaidie.ata ushaur pia ni sawa.mana dawa za hospitalin haziponyesh ndugu zangu
Habari, Ndugu.. umefikia wapi na tatizo lako.. Naweza kua na ushauri mzuri.. Tuwasiliane nipo Dar Es Salaam 0716 052962 -Albert
 
Habari, Ndugu.. umefikia wapi na tatizo lako.. Naweza kua na ushauri mzuri.. Tuwasiliane nipo Dar Es Salaam 0716 052962 -Albert
Albert toa ushauri humu Mungu atakulipa kwani watu wengi wanasumbuka sasa
 
Kama hapo napenda kuwek hadhalan hali hi mwenye kujua tiba ya hu ugongwa wa homa ya ini hepatis b.naitaj anisaidie.ata ushaur pia ni sawa.mana dawa za hospitalin haziponyesh ndugu zangu
Mkuu huo ugonjwa hausababishi na virus kama madaktari wanavyodai, na dawa yake ipo tena inapatikana kwa gaharama ndogo sana, dawa si kidonge chochote.
Ugonjwa huo husababishwa na kutumia kemikali kwa wingi au vyakula visababishavyo kemikali mwilini, dawa yake ni kuviacha hivyo vitu unapona fasta
 
Back
Top Bottom