Naumwa jamani; Napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua

Naumwa jamani; Napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua

Pole mkuu ila naomba kuuliza, hivi hayo mafuta unayouza ni kwa ajili ya wanaume tu ???
 
Massage na mambo yetu ni dawa mubashara.

Nakuja kukupeleka, lakin tutajaribu matibabu hayo juu kwanza, sawaa?
 
Nina week sasa Napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua kama unaenda mgongoni hivi. Panauma sana kwa ndani ni ugonjwa gani wakuu.
Kuhusu kwenda hosptali naogopa sana hospital natafuta mpenzi wa kunipeleka
Maumivu yakizid sana nenda kamuone daktarii
 
Miss hizo si dalili nzuri, check uzito na urefu wako pia pima diabetes na cholesterol level kwenye damu.

Ikiwezekana fanya jitihada hasa za kupunguza uzito
 
Kama unaogopa kwenda sibitalini/hospital bado hauumwi subiri uumwe sawasawa,pole lakini
 
Nina week sasa napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua kama unaenda mgongoni hivi panauma sana kwa ndani ni ugonjwa gani wakuu kuhusu kwenda hosptali naogopa sana hospitali natafuta mpenzi wa kunipeleka.
Njoo nikufanyie massage[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Nina week sasa napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua kama unaenda mgongoni hivi panauma sana kwa ndani ni ugonjwa gani wakuu kuhusu kwenda hosptali naogopa sana hospitali natafuta mpenzi wa kunipeleka.
Kamuone daktari lakini jitahidi kufanya mazoezi matatizo mengi ya aina hiyo husababishwa na ukosefu wa virutubisho na Mwili hujengwa kwa vyakula (mlo kamili) na kufanya mazoezi
 
Back
Top Bottom