ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,739
- 2,697
Wadau mimi nakumbwa na maradhi likitoka hili linakuja lingine[emoji22],,kwa sasa kifua kinabana nakohoa kwa shida kila nilalapo, ila mchana huwa sihangaiki kama usiku ,mchana nashinda vzr ila ifikapo usiku nikilala nakohoa huku kifua nacho kimenibana sana kwa anayejua tiba anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app