Naumwa kifua kinabana na nakohoa sana

Naumwa kifua kinabana na nakohoa sana

mkuu kuomba ushauri humu utakuchanganya sababu kila mtu atasema lake na kaa ukijua miruzi mingi humpoteza mbwa

jambo la busara kabisa NENDA HOSPITAL kamuone doctor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hicho ni kifua cha mshipa nliumwa sana hadi nkahic nina ukimwi nlikuja kupona kwa mti mmoja upo mkuranga mzee mmoja ndo alinichimbia bureee nipe namba yako nkutumie namba yake umpigie

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, nami nasumbuliwa na tatizo hilo japo sio sana km jamaa. Shida kubwa ni misuli ya shingo kukaza sana hadi kifuani. Sasa cjui linamahusiano na tatizo la jamaa hilo la mishipa??
 
Back
Top Bottom