Naumwa kifua kinabana na nakohoa sana

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,739
Reaction score
2,697
Wadau mimi nakumbwa na maradhi likitoka hili linakuja lingine[emoji22],,kwa sasa kifua kinabana nakohoa kwa shida kila nilalapo, ila mchana huwa sihangaiki kama usiku ,mchana nashinda vzr ila ifikapo usiku nikilala nakohoa huku kifua nacho kimenibana sana kwa anayejua tiba anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miguu vipi imevimba pia??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kikubwa ungeenda hospitali inaweza kua matatizo ya moyo yanaweza kua matatizo mengine pia
Ni vema uende hospitali haraka iwezekanavyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kikubwa ungeenda hospitali inaweza kua matatizo ya moyo yanaweza kua matatizo mengine pia
Ni vema uende hospitali haraka iwezekanavyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilihitaji dawa coz nakumbuka kuna kipindi niliwahi ugua nikatumia dawa baada ya hapo nikapata nafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali nje ya mada; wewe ni muhaya?
.
.
Onana na daktari haraka sana na fanye body checkup ila usisahau kupima ngoma/miwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hicho ni kifua cha mshipa nliumwa sana hadi nkahic nina ukimwi nlikuja kupona kwa mti mmoja upo mkuranga mzee mmoja ndo alinichimbia bureee nipe namba yako nkutumie namba yake umpigie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ndg,, kama huwa unawasha feni usiku jaribu kuzima (lala bila feni) halafu uangalie mabadiliko. Kama hamna mabadiliko yoyote nakushauri uende hospitali kwa vipimo zaidi yaweza kuwa ni asthma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…