Naumwa meno

Naumwa meno

emma_laurent

Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
61
Reaction score
7
Jamani wana JF nisaidieni meno yananiuma sana na yametoboka. Nshayajaza ila sasa hivi filter zimeisha, sitaki kuyatoa na siwezi kutafuna kitu kigumu naumwa sana.

Your help please
 
Jamani wana JF nisaidieni meno yananiuma sana na yametoboka. Nshayajaza ila sasa hivi filter zimeisha, sitaki kuyatoa na siwezi kutafuna kitu kigumu naumwa sana.

Your help please

Tiash Tooth Paste inaweza kukufanyia maajabu. Waone tafadhali
 
na dawa ya ganzi ya meno ni nini wapedwa!
 
Pole saana nenda hospital kawaone daktari baada ya hapo kuwa makini na kinywa chako ,piga mswaki kila na baada ya mlo ,usile vite vya sukari ,pia acha kutumia toothpicks tumia uzi maalumu baada ya hapo waweza kutumia remedy za forever living kama vile aloe toothgel 13,600,alovera juice 43,700,forever calcium42,800, na forever daily ni 36,100 kama utahitaji ni Pm .
 
Ngoja nikusaudie nenda kwa huyu Mzee kuna mawe anakupa utatafuna ule unga unaingia kwenye sehemu zilizotoboka na kuua wale wadudu na linaziba. Number yake.. 0656007439 mpigie yuko Tegeta atakusaidia utapona
 
Back
Top Bottom