Naumwa, mnaonipenda niombeeni dua.

pole mkubwa, ugonjwa .ni mtihani na umegewa wewe ill upate kumkumba mola, na kwa uwezo wake utapona! ugua pole...
 
ugua pole, jaribu kunywa maji kwa wingi kwani hiyo "quinin" ni kali na inahitajika kwa wewe unywe maji ili kuondosha masalia ya dawa kwenye mwili wako
kwa uzoefu niliyonao kwani hiyo kitu imenisumbua kwa sana
 
ugua pole, jaribu kunywa maji kwa wingi kwani hiyo "quinin" ni kali na inahitajika kwa wewe unywe maji ili kuondosha masalia ya dawa kwenye mwili wako
kwa uzoefu niliyonao kwani hiyo kitu imenisumbua kwa sana
Nakushukuru sana Wandugu Masanja,ntafuata ushauri wako mkuu!
 
sidhani kama atapona na hiyo avatar yako!!
Sasa ndugu yangu mbona unaniombea kifo! Ujue humu Jf hatuonani kwa macho, unaweza kujikuta umekuja kulia kwenye msiba wangu pengine mi ni ndugu yako hasaa au rafiki wa karibu! ndio maana nikatanguliza kusema kwenye hili la ugonjwa au misiba tuweke tofauti zetu pembeni, Haya na hiyo avatar yangu itasababishaje nisipone?
 
Pole sana mkuu,hizo ndiyo changamoto za miili yetu.
 
Nasumbuliwa na malaria kali wana jf, napata drip ya quinin,dua zenu muhimu jamani,tuweke tofauti zetu za kimtazamo pembeni!
Ugua pole mkuu,Mwenyezi Mungu akujalie afya njema mapema uje tujadili hoja kwa hoja.
 
hapana mkuu sikuombei mabaya!nilikuwa narespond kwa avatar ya @manoah!samahani kiongozi haikuwa na maana hiyo ambayo umeichukulia!

 
Pole mwaya.......utapona.......ujitahidi kula.....na unywe maji mengi......
 
Nasumbuliwa na malaria
kali wana jf, napata drip ya quinin,dua zenu muhimu jamani,tuweke
tofauti zetu za kimtazamo pembeni!

ha ha ha haa,kweli kifo knatisha,hadi kjana anaomba poo anataka tofauti zake na wadau zikae kando!!!
 
ha ha ha haa,kweli kifo knatisha,hadi kjana anaomba poo anataka tofauti zake na wadau zikae kando!!!
Mi siogopi kufa najua ni wajibu,ila naomba mungu aniongezee uhai ili wanaonitegemea nao wasogee mbali,afterall, nilisema wanaonipenda,sasa kama hunipendi nini kimekuwasha! Achana na mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…