Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Nasumbuliwa na malaria kali wana jf, napata drip ya quinin,dua zenu muhimu jamani,tuweke tofauti zetu za kimtazamo pembeni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapona mkuu.. Dawa hizo ni nzuri sana, ila jitahidi ule na kunywa maji kwa wingi.
pole mkubwa, ugonjwa .ni
mtihani na umegewa wewe ill upate kumkumba mola, na kwa uwezo wake
utapona! ugua pole...
Thanx Charminglady, naamini Mungu kapokea dua yako.Pole mkuu.... Mwenyezi Mungu akuponye!
sidhani kama atapona na hiyo avatar yako!!Utapona mkuu.. Dawa hizo ni nzuri sana, ila jitahidi ule na kunywa maji kwa wingi.
Asante God bell, Mungu mwenye nguvu amesikia,aamin.Upone haraka uendeleze jahazi la maisha mkuu
Nakushukuru sana Wandugu Masanja,ntafuata ushauri wako mkuu!ugua pole, jaribu kunywa maji kwa wingi kwani hiyo "quinin" ni kali na inahitajika kwa wewe unywe maji ili kuondosha masalia ya dawa kwenye mwili wako
kwa uzoefu niliyonao kwani hiyo kitu imenisumbua kwa sana
Sasa ndugu yangu mbona unaniombea kifo! Ujue humu Jf hatuonani kwa macho, unaweza kujikuta umekuja kulia kwenye msiba wangu pengine mi ni ndugu yako hasaa au rafiki wa karibu! ndio maana nikatanguliza kusema kwenye hili la ugonjwa au misiba tuweke tofauti zetu pembeni, Haya na hiyo avatar yangu itasababishaje nisipone?sidhani kama atapona na hiyo avatar yako!!
Ugua pole mkuu,Mwenyezi Mungu akujalie afya njema mapema uje tujadili hoja kwa hoja.Nasumbuliwa na malaria kali wana jf, napata drip ya quinin,dua zenu muhimu jamani,tuweke tofauti zetu za kimtazamo pembeni!
hapana mkuu sikuombei mabaya!nilikuwa narespond kwa avatar ya @manoah!samahani kiongozi haikuwa na maana hiyo ambayo umeichukulia!Sasa ndugu yangu mbona unaniombea kifo! Ujue humu Jf hatuonani kwa macho, unaweza kujikuta umekuja kulia kwenye msiba wangu pengine mi ni ndugu yako hasaa au rafiki wa karibu! ndio maana nikatanguliza kusema kwenye hili la ugonjwa au misiba tuweke tofauti zetu pembeni, Haya na hiyo avatar yangu itasababishaje nisipone?
Asante, nimekuelewa,nashkuru.hapana mkuu sikuombei mabaya!nilikuwa narespond kwa avatar ya @manoah!samahani kiongozi haikuwa na maana hiyo ambayo umeichukulia!
Nasumbuliwa na malaria
kali wana jf, napata drip ya quinin,dua zenu muhimu jamani,tuweke
tofauti zetu za kimtazamo pembeni!
Mi siogopi kufa najua ni wajibu,ila naomba mungu aniongezee uhai ili wanaonitegemea nao wasogee mbali,afterall, nilisema wanaonipenda,sasa kama hunipendi nini kimekuwasha! Achana na mimi!ha ha ha haa,kweli kifo knatisha,hadi kjana anaomba poo anataka tofauti zake na wadau zikae kando!!!