Habari zenu...
Jamani nimekua natokewa na vipele kama vya mbu sehemu tofauti,mara kune mguu,mara mkonono mara kune paja except usoni.....
Halafu baada ya siku chache vinapotea...
Yani vinawasha,last time vilivyoenda kwa hosp walinipa dawa za minyoo...
Ila hii hali inaendelea,utakuta nakaa after 3 weeks vipele vinakuja tena na kupotea in 2 to 3 days...
Na dawa za minyoo mekunywa mara kibao....
Anaejua tatizo litakua nini aniambie please...
Au nifanye nini,maana dah vikitokea nakua mwekundu kweli...halafu sipendi vile vinawasha...