Naumwa, msaada please

Naumwa, msaada please

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
Habari zenu...

Jamani nimekua natokewa na vipele kama vya mbu sehemu tofauti,mara kune mguu,mara mkonono mara kune paja except usoni.....
Halafu baada ya siku chache vinapotea...

Yani vinawasha,last time vilivyoenda kwa hosp walinipa dawa za minyoo...
Ila hii hali inaendelea,utakuta nakaa after 3 weeks vipele vinakuja tena na kupotea in 2 to 3 days...
Na dawa za minyoo mekunywa mara kibao....

Anaejua tatizo litakua nini aniambie please...
Au nifanye nini,maana dah vikitokea nakua mwekundu kweli...halafu sipendi vile vinawasha...
 
Endelea na vipimo vya hospitali, fanya allergy test, pima damu tena. Hiyo inawezekana ni reaction ya body's defence mechanism, histamine zimekuwa relealsed. Kunywa piriton lakini endelea kufanya uchunguzi.
 
Picha please, observation is an important step to reach diagnosis
 
Endelea na vipimo vya hospitali, fanya allergy test, pima damu tena. Hiyo inawezekana ni reaction ya body's defence mechanism, histamine zimekuwa relealsed. Kunywa piriton lakini endelea kufanya uchunguzi.
Sawa asante dear
 
Mmmm vya joto si vidogo vidogo,hivi ni kama vya mbu
joto tu.... mkuu Fanya kitu kimoja Oga kabla ya kulala na baada ya Kuamka Asbh usipake Mafuta yanayofanya ngozi kuwa ya unyevunyevu..........pia usivae nguo ya ndani zaidi ya siku mbili.......utaona matokeo
 
Back
Top Bottom