Naumwa naombeni msaada

Kama kuna mtu ana mgonjwa au amelazwa mloganzila aje pm nichukulie hata matunda jamani.au misosi anything
Ndo naondoka home
Ila Niko hoooi
Aisee kuwa single sio
Hapa ndio nimeng'amua, hii ni mkakati maalum [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pole. Na mimi nilikua naumwa hivyo hivyo nikajikausha kama siku 4 nikaona nitafia ndani. Jitahidi uende hospital mama kukaa na ugonjwa nyumbani si kitu kizuri.
Vipi Sasa kuhusu ombi langu!?
 
Naomba namba yako nikutumie hela ya matunda
 
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Kula malimau
 
Una ugonjwa wa malaria.
 
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Ni dalili za umauti kukukuta siku za usoni. Goma tu kwenda hospitali tukuimbie parapanda. Utapenda kuzikwa mjini ama usafirishwe?
 
Ni dalili za umauti kukukuta siku za usoni. Goma tu kwenda hospitali tukuimbie parapanda. Utapenda kuzikwa mjini ama usafirishwe?
Nilienda hosptal sikukutwa na ugonjwa wowote mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…