Da Mary asante. Nilichelewa kulala na hata jana usiku nimepiga pushup za nguvu na kuruka kichura chura nafuu kwa mbali sana leo asubuhi. Kuhusu daktari nimwone wa maradhi ganiPole sna mie sio daktari ila siku iliopita ulikula nn na ulipumzika vya kutosha!! maumivu yakizidi muone Daktari
Injinia ubarikiwe kwa ushauri mzuriLeo umeamka salama? Hiyo kitu inaitwa TIA (transient ischemic attack), ni kwamba sehemu ya ubongo wako ilikosa damu kwa muda. Kwa lugha nyepesi, inawezekana wewe umepata ka stroke kadogo.
Sifahamu una mambo gani katika maisha yako yanayoweza kukuweka hatarini kupata hali kama hiyo lakini ki ujumla "risk factors" zinagawanywa katika zile ambazo zinarekebishika na zile zisizorekebishika.
Zinazorekebishika: Uvutaji sigara, kunywa pombe, viwango vya juu vya lehemu (low density cholesterol) katika damu, ukosefu wa mazoezi (sedentary lifestyle), shinikizo la damu na kisukari
Zisizorekebishika: umri, jinsia (kutegemea na umri)
Ushauri wangu nenda kamuone daktari, hakikisha unaenda kwenye hospitali ambayo una uhakika wa kuonwa walau na Medical Officer na si CO au AMO. Sijui uko katika mkoa/ mji gani.
Kingine unachoweza kufanya sasa hivi kama una Aspirin, meza KIDONGE KIMOJA SASA HIVI. TIA inaweza kujirudia na pia inaweza kutokea stroke kamili hivyo chukua hatua
nawashukuru wanajf kwa maelekezo yenu shukran za ziada kwa injinia mtata.kuhusu nilipo nipo dar na wafanyakazi tunatibiwa hospital ya al ijumaa pale kariakoo.hospital huwaazima madakitari bingwa toka muhimbili sasa sina uhakika kwa tatizo langu kama nitapata daktari bingwa hapo nimepanga kwenda jtatu. ASANTENI SANASiku chache zilizopita, nilisoma article ihusuyo mambo ya afya na kulikuwa na habari ya dada mmoja kutokewa na hali kama hiyo wakiwa kwenye shughuli ya kifamilia, basi watu wote wakamliwaza na kumpatia maneno ya faraja, kwa kuwa hawakufahamu ni nini kinaendelea basi hat hospitali hawakwenda. Baada ya juma moja yule dada akapata stroke, from which she never had a chance, and the rest is history. Angewahi kwenda hospitali, a life could be saved, so please wahi hospitali na sio kituo cha afya.
nawashukuru wanajf kwa maelekezo yenu shukran za ziada kwa injinia mtata.kuhusu nilipo nipo dar na wafanyakazi tunatibiwa hospital ya al ijumaa pale kariakoo.hospital huwaazima madakitari bingwa toka muhimbili sasa sina uhakika kwa tatizo langu kama nitapata daktari bingwa hapo nimepanga kwenda jtatu. ASANTENI SANA
nawashukuru wanajf kwa maelekezo yenu shukran za ziada kwa injinia mtata.kuhusu nilipo nipo dar na wafanyakazi tunatibiwa hospital ya al ijumaa pale kariakoo.hospital huwaazima madakitari bingwa toka muhimbili sasa sina uhakika kwa tatizo langu kama nitapata daktari bingwa hapo nimepanga kwenda jtatu. ASANTENI SANA
Pole sana mkuu jitahidi hiyo jumatatu uende hospital upate ufumbuzi wa tatizo suala la afya ni msingi wa yote.Ngala, please go today. ANYWHERE. Just get your blood pressure checked. And take that Aspirin. It will do you more good than harm (if any). Nakusihi. Jumatatu tusije tukakosa post zako humu