Thanks ndugu zangu,kweli kurudi kwa dokta wa kwanza sikukumbuka. Nitarudi. Waliocomment niache ngono nadhani wanatania wakati nipo siriaz. Toka nioe sijawahi kuonja nje na kwa uhakika mimi na mke wangu hatuna ugonjwa wowote wa zinaa. Nashukuru wandugu kwa ushauri ulio bora,wanaocomment mambo ya uganga na dhihaka nawashukuru pia,kila mtu ana uhuru wa kusema ilimradi asivunje sheria.