Naumwa sana na uume

Naumwa sana na uume

umeloooogwa na jirani yako......leta Jogoo, Debe moja la mchele, mafuta ya kupikia ya Alizeti, mdalasini , Iriki na mashuka mawili ya rangi ya light blue....tatizo litakua limekwisha , pole Mtanzania mwenzangu
 
Thanks ndugu zangu,kweli kurudi kwa dokta wa kwanza sikukumbuka. Nitarudi. Waliocomment niache ngono nadhani wanatania wakati nipo siriaz. Toka nioe sijawahi kuonja nje na kwa uhakika mimi na mke wangu hatuna ugonjwa wowote wa zinaa. Nashukuru wandugu kwa ushauri ulio bora,wanaocomment mambo ya uganga na dhihaka nawashukuru pia,kila mtu ana uhuru wa kusema ilimradi asivunje sheria.
 
ungekua na ugonjwa wa zinaa usingepata maumivu wakati hujapata ile kitu roho napenda. hujajibu maswali yangu,unaumwa uume au kende? ni muhimu kumuona dr ili uangaliwe,inaweza kuwa dalili ya ugonjwa mwingine ambao ni serious kama prostate cancer
Thanks ndugu zangu,kweli kurudi kwa dokta wa kwanza sikukumbuka. Nitarudi. Waliocomment niache ngono nadhani wanatania wakati nipo siriaz. Toka nioe sijawahi kuonja nje na kwa uhakika mimi na mke wangu hatuna ugonjwa wowote wa zinaa. Nashukuru wandugu kwa ushauri ulio bora,wanaocomment mambo ya uganga na dhihaka nawashukuru pia,kila mtu ana uhuru wa kusema ilimradi asivunje sheria.
 
Nenda kafanyiwe Maombi! Ukiamini Mungu atakuponya
 
Kwa kuwa ulienda hospitali na ukapewa dawa na kwa kuwa ulipona kama miezi 3 inamaana ulikuwa na uambukizo na sasa umerudi tena
angalia katika pita pita zako ndio ulikotoa,jaribu kuwatibu wote ulowapitia,kumbuka kutumia kondom kama uko nje ya mndani wako otherwise utakufa umwache dogo huyo!
 
Back
Top Bottom