Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hiyo ovatar inanipa wasiwasi,,Rafiki zangu,ndugu zangu na wapenzi wangu wote wa JF nahitaji dua zenu maana hali si hali naumwa sana siwezi hata kula,macho yanafifia fifia ,mwili wa moto kila ninachofanya kwangu nakiona kibaya
Wale wote niliowakosea naomba mnisamehe sana ,kwa wale mnaokaa dar mnaweza mkaja nyumbani kuja kuniona mnifariji
Pia nitatoa info zangu zote kwa moderators ikitokea nimekata roho watawaambia
Dunia ni mapito swali kabla hujaswaliwa.
kwa nini?Hiyo ovatar inanipa wasiwasi,,
ha hahahaPole mkuu, hata hivyo umesema macho yanafifia, so nani aliyekuandikia ?
Kimbia ukatibiwe mkuu, wamekusamehe, hospitali na sio kwa sangoma...Rafiki zangu,ndugu zangu na wapenzi wangu wote wa JF nahitaji dua zenu maana hali si hali naumwa sana siwezi hata kula,macho yanafifia fifia ,mwili wa moto kila ninachofanya kwangu nakiona kibaya, Wale wote niliowakosea naomba mnisamehe sana ,kwa wale mnaokaa dar mnaweza mkaja nyumbani kuja kuniona mnifariji, Pia nitatoa info zangu zote kwa moderators ikitokea nimekata roho watawaambia, Dunia ni mapito swali kabla hujaswaliwa.