Naumwa sana naomba mniombee

Naumwa sana naomba mniombee

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Rafiki zangu,ndugu zangu na wapenzi wangu wote wa JF nahitaji dua zenu maana hali si hali naumwa sana siwezi hata kula,macho yanafifia fifia ,mwili wa moto kila ninachofanya kwangu nakiona kibaya

Wale wote niliowakosea naomba mnisamehe sana ,kwa wale mnaokaa dar mnaweza mkaja nyumbani kuja kuniona mnifariji

Pia nitatoa info zangu zote kwa moderators ikitokea nimekata roho watawaambia

Dunia ni mapito swali kabla hujaswaliwa.
 
tumekusamehe nenda hospital kabla ujapelkwa hospital mochwari
 
Rafiki zangu,ndugu zangu na wapenzi wangu wote wa JF nahitaji dua zenu maana hali si hali naumwa sana siwezi hata kula,macho yanafifia fifia ,mwili wa moto kila ninachofanya kwangu nakiona kibaya

Wale wote niliowakosea naomba mnisamehe sana ,kwa wale mnaokaa dar mnaweza mkaja nyumbani kuja kuniona mnifariji

Pia nitatoa info zangu zote kwa moderators ikitokea nimekata roho watawaambia

Dunia ni mapito swali kabla hujaswaliwa.
Hiyo ovatar inanipa wasiwasi,,
 
Pole mkuu, hata hivyo umesema macho yanafifia, so nani aliyekuandikia ?
 
Pole sana mkuu, ila umesahau kesema unata wanaJF wa jinsia gani wakutembee. Wish you speed recovery
 
We hujaumwa wewe, hiyo nguvu ya kuandika thread wala usingekuwa nayo na usingekumbuka hata huku Zaid ya kumlilia Mungu wako
 
Rafiki zangu,ndugu zangu na wapenzi wangu wote wa JF nahitaji dua zenu maana hali si hali naumwa sana siwezi hata kula,macho yanafifia fifia ,mwili wa moto kila ninachofanya kwangu nakiona kibaya, Wale wote niliowakosea naomba mnisamehe sana ,kwa wale mnaokaa dar mnaweza mkaja nyumbani kuja kuniona mnifariji, Pia nitatoa info zangu zote kwa moderators ikitokea nimekata roho watawaambia, Dunia ni mapito swali kabla hujaswaliwa.
Kimbia ukatibiwe mkuu, wamekusamehe, hospitali na sio kwa sangoma...
 
😀😀TANZANIA hii......... Eti mtu anaumwa,mfukoni ana buku badala ya kununua dawa anaweka bundle la buku kwenye cm ili apost "jamani naumwa mniombee" hii mitandao itaua watu..

R.I.P in advance
 
Pole.... Nenda hospitality au kama hutaki kwenda anza kuandika wosia mapema
 
Back
Top Bottom