Naunga mkono amunike kutimliwa

Naunga mkono amunike kutimliwa

Hujui unachotetea bora ukalale amunike siyo kocha wa kuijenga Taifa stars
Soma vizuri nilichoandika uelewe!, hakuna mahali popote nilipomtetea Amunike, kwanza namfahamu vizuri tu na nilishangazwa na kuchaguliwa kwake kuwa kocha wa Taifa Stars. Toa hoja yako ya ni kwa nini Amunike hawezi kuwa kocha wakati Taifa Stars imetoka AFCON 19 juzi tu chini ya Amunike!. 🙄🙄
 
Soma vizuri nilichoandika uelewe!, hakuna mahali popote nilipomtetea Amunike, kwanza namfahamu vizuri tu na nilishangazwa na kuchaguliwa kwake kuwa kocha wa Taifa Stars. Toa hoja yako ya ni kwa nini Amunike hawezi kuwa kocha wakati Taifa Stars imetoka AFCON 19 juzi tu chini ya Amunike!. 🙄🙄
Hata bila amunike tungequalify
 
Pamoja na kwamba Nigeria wana asili ya kudharau mataifa mengine ya africa lakini amunike amezidi.

Kwanza aliwadanganya tff kwamba yeye alikua mchezaji nyota pale barcelona.. ukweli ni kwamba kwa muda wote miaka 4 amunike alifunga goli moja tuu..

Amunike ni mtu ambaye alizajiliwa kimakosa na barcelona, na sijui alipataje mchongo huo kutoka zamaleki.

Cha pili kila akiongea anajigamba kwamba yeye ni mchezani bora.. ukweli ji kwamba hata huko nigeria sio star... ni mchezaji wa kawaida sana.

Kitendo cha kuwatukana wachezaji ni kuwatukana watanzania.. naamini muda huu huko aliko baada ya kutimuliwa atakua ametutukana sana watanzania hasa viongozi wa tff.


Naomba TFF mtuletee kocha ambaye sio njaa.. anaye ipenda Tanzania, anaye wapenda watanzania. Na anayejua kufundisha mpira.


Na hili lianze na u15 .View attachment 1151753
Ivi Kwan watanzania tulikua tunategemea kupita mbele ya Algeria na Senegal , ukiangalia kundi letu lilikua gum Aisee, mpaka Sasa Senegal na Algeria wote wameingia nusu fail , wamekuta na wauzi was mpira baran Africa kina Cameron na ivory cost wamedunda ndo ije kua Tanzania jamen, tuwe wakwel sisi pale tulikua hatuna chetu Seema to ni mihemko tu, kulikua hakuna haja ya kumfukuza kocha, kiuhalisia Kama kocha alikua mbovu basi na tff nao waondoke wote, Kwan wao ndio walituletea kocha mbovu , kiuhalisia na wao ni wabovu pia na kwa kutokana na ubovu wao wataendelea kutuletea makocha wabovu , chamsingi ttf wote waondoke waje wapya wamesha prove failure
 
Hivi kwa team Ile mlitegemea kwenda AFCON muingie angalau 16 bora?

Ova
 
Amunike hata kwenye timu yake ya taifa kioindi akiwa mchezaji alikuwa ni bench warmer anaingia dakika ya 88 kwenye michezo muhimu, achilia mbali kule Barcelona ambako aliishia kumuangalia kijana mdogo wa kibrazil Ronaldo akifanya yake huku yeye akiozoe benchi. Kama kweli alikuwa na majigambo basi ni mpuuzi sana hana historia yoyote kubwa kama mchezaji.

Naskia hata mechi za ligi kuu alikuwa anaudhuria uwanjani siku kukiwepo na mechi ya Simba V Yanga tu.
 
Mbona SA wamewatoa egypt na around 80% ni wachezaji wa kawaida sana.. Mkuu kocha ana sehemu kubwa sana ya kufanikisha ushindi.. matusi hayawezi kuleta ushindi

Embu acha utani mkuu unailinganisha South Africa na Tz kimpira ?

Tuache basi hata ile nafasi waliyo nayo FIFA na ya kwetu tuliyonayo tujipime hata kwa maandalizi uchwara tuliyoyafanya Ndio kutegemea kutoa timu kama Algeria na Senegal ambazo zote zimefika nusu fainali ?
 
Back
Top Bottom