Taifa kama taifa ni LAZIMA litafute namna ya kuchukua pesa za wanaobet ili kuziingiza kwenye mfumo unaoleweka wa kiuchumi!!!
Tukitumia mfano wa mtu anayefahamika na wengi kwa mfano, Diamond Platnumz, hivi karibuni amezindua kampuni ya betting... yaani kampuni ya watu kucheza kamali!
Kwa hili, Diamond Platnumz na wenzake wataokota okota buku buku za waliojaa huko mitaani na kuziweka kwenye kapu moja ambalo matumizi yake yatajadiliwa na wenye akili!
Mond mwenyewe na wenzake, watapata share kubwa tu kutoka hizi buku buku walizookoteza. Kuna uwezekano mkubwa sana wa kundi hili likatumia hizi pesa kwa manufaa makubwa ya jamii, kwa mfano kufungua biashara zinazoweza kutoa ajira!
Serikali na yenyewe itakuwa inapata kodi kutoka kwenye buku buku zilizookotezwa !
Kwa maana nyingine, hiyo ndo njia pekee ya kulipa kodi na kuchangia ustawi wa jamii !! Hizi buku buku zikiachwa ziendelee kuwa mifukoni mwao, zinaweza kuleta madhara makubwa zaidi kwa jamii kuliko mnavyodhani!!
Kwahiyo, nasisitiza betting iendelee, na kampuni nyingi zaidi zianzishwe Tanzania ili watu walipe kodi indirectly!!
Alamsiki!!