Pre GE2025 Naunga mkono hoja ya Ally Keissy kuwa Rais Samia anamalizia Kipindi cha Magufuli, yeye Vipindi vyake ataanza Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kimalingano

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
709
Reaction score
919
Nimemsikiliza Mhe.Keissy, mbunge mstaafu, akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia kipindi cha Magufuli.

Kwa hiyo yeye Samia anastahili vipindi viwili vya miaka kumi.
Pia amesema kuwa yeye aliposema Magufuli atake asitake ataongezewa muda wa urais hakumaanisha kuwa aongoze maisha yake yote. Alimaanisha aongezewe kipindi kimoja cha miaka 5 na kufanya aongoze miaka 15 pekee.

Naunga mkono hoja, Mama aongoze hadi 2035.

Pia soma > Ally Mohamed Keissy: Rais Samia agombee tena Urais ikifika mwaka 2030, hii miaka 4 ilikuwa ya Magufuli
 
Nimemsikiliza Mhe.Keissy,mbunge mstaafu,akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media.Ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia kipindi cha Magufuli.

Kwa hiyo yeye Samia anastahili vipindi viwili vya miaka kumi.
Pia amesema kuwa yeye aliposema Magufuli atake asitake ataongezewa muda wa urais hakumaanisha kuwa aongoze maisha yake yote.Alimaanisha aongezewe kipindi kimoja cha miaka 5 na kufanya aongoze miaka 15 pekee.

Naunga mkono hoja.Mama aongoze hadi 2035.
CHAWA pro max, aongoze basi mpaka 2060
 
Kama ndivyo hivyo, CCM imevunja katiba ya chama.. Kama ndivyo hivyo Samia asingepitishwa kiuni namna ile
 
Nimemsikiliza Mhe.Keissy,mbunge mstaafu,akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media.Ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia kipindi cha Magufuli.

Kwa hiyo yeye Samia anastahili vipindi viwili vya miaka kumi.
Pia amesema kuwa yeye aliposema Magufuli atake asitake ataongezewa muda wa urais hakumaanisha kuwa aongoze maisha yake yote.Alimaanisha aongezewe kipindi kimoja cha miaka 5 na kufanya aongoze miaka 15 pekee.

Naunga mkono hoja.Mama aongoze hadi 2035.
Katiba ya CCM inabakwa waziwazi kwa sababu ya tamaa ya madaraka. Kazi ipo
 
Nimemsikiliza Mhe.Keissy,mbunge mstaafu,akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media.Ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia kipindi cha Magufuli.

Kwa hiyo yeye Samia anastahili vipindi viwili vya miaka kumi.
Pia amesema kuwa yeye aliposema Magufuli atake asitake ataongezewa muda wa urais hakumaanisha kuwa aongoze maisha yake yote.Alimaanisha aongezewe kipindi kimoja cha miaka 5 na kufanya aongoze miaka 15 pekee.

Naunga mkono hoja.Mama aongoze hadi 2035.
Hivi huwa mnasoma katiba kweli? Au mngependa nchi iendeshwe kwa mapenzi yenu au ya aliyeko juu? Umesoma katiba kuhusu anayekaimu urais wakati rais anapokufa?
 
Mwambie pia kwakuwa yeye ni mwanasiasa mzoefu na mkongwe awe anasoma katiba ya nchi .
Sasa imagine mtu kama huyu ambaye amekuwa bungeni muda mrefu ambaye unatarajia aisimamie serikali, atunge sheria hajui hata katiba inasemaje au anajua lakini kwa sababu huwa hashibi hata baada ya kuwa anavuta 16 mls per month anaamua kujifanya hajui.
Hii ni hasara kwa taifa.
 
Nimemsikiliza Mhe.Keissy,mbunge mstaafu,akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media.Ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia kipindi cha Magufuli.

Kwa hiyo yeye Samia anastahili vipindi viwili vya miaka kumi.
Pia amesema kuwa yeye aliposema Magufuli atake asitake ataongezewa muda wa urais hakumaanisha kuwa aongoze maisha yake yote.Alimaanisha aongezewe kipindi kimoja cha miaka 5 na kufanya aongoze miaka 15 pekee.

Naunga mkono hoja.Mama aongoze hadi 2035.
Qummar nyokoryz
 
Kama Mungu akipenda, hata Mwemdazake aliitaka awamu ya pili ila Mungu alikua na mipango nae, Ahera.
 
Sasa huyo mtoa mada na keissy wanatoa wapi mawazo kama haya!?
Screenshot_20250226-075827.png
Screenshot_20250226-075827.png

Hapa ndipo panawachanganya watu
 
Back
Top Bottom