Pre GE2025 Naunga mkono hoja ya Ally Keissy kuwa Rais Samia anamalizia Kipindi cha Magufuli, yeye Vipindi vyake ataanza Oktoba 2025

Pre GE2025 Naunga mkono hoja ya Ally Keissy kuwa Rais Samia anamalizia Kipindi cha Magufuli, yeye Vipindi vyake ataanza Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na hiyo miandishi ya habari haina uelewa ndiyo maana hayajambana na maswali ya maana! Yanamhoji kama mapumbavu tu!
Mkuu ni aibu sana kwa Taifa kuwa na waandishi wa habari wasio na uelewa wa masuala mtambuka kama katiba.

Fikiria huyu ni mbunge aliyekaa bungeni kwa mihula miwili lakini hata katiba ya nchi tu haijui halafu utarajie aende kumwakilisha mwananchi ipasavyo kweli?
 
Nimemsikiliza Mhe.Keissy, mbunge mstaafu, akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia kipindi cha Magufuli.

Kwa hiyo yeye Samia anastahili vipindi viwili vya miaka kumi.
Pia amesema kuwa yeye aliposema Magufuli atake asitake ataongezewa muda wa urais hakumaanisha kuwa aongoze maisha yake yote. Alimaanisha aongezewe kipindi kimoja cha miaka 5 na kufanya aongoze miaka 15 pekee.

Naunga mkono hoja, Mama aongoze hadi 2035.

Pia soma > Ally Mohamed Keissy: Rais Samia agombee tena Urais ikifika mwaka 2030, hii miaka 4 ilikuwa ya Magufuli
“Mama nimekaa sana benchi naomba unikumbuke”
 
Kama ndivyo hivyo, CCM imevunja katiba ya chama.. Kama ndivyo hivyo Samia asingepitishwa kiuni namna ile
Kwani hujui kuwa: Politics is the art of the possible- siasa ni kufanya yanayowezekana kwa wakati huo.
CCM ilichofanya ni kuepusha fitina ambavyo vilibainika kuwepo.
 
Duuh kwaio mbunge hajui katiba ya nchi inasemaje. Kazi kwelikwel labla wafanyie reform ya katiba
 
Haina shida.. Kama ndio anaanza basi watoe fomu na kwa wanaCCM wengine Kisha kura za maoni zipigwe waone kama huyo Samia wao atapata hata kura moja..🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom