Pre GE2025 Naunga mkono hoja ya Ally Keissy kuwa Rais Samia anamalizia Kipindi cha Magufuli, yeye Vipindi vyake ataanza Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na hiyo miandishi ya habari haina uelewa ndiyo maana hayajambana na maswali ya maana! Yanamhoji kama mapumbavu tu!
Mkuu ni aibu sana kwa Taifa kuwa na waandishi wa habari wasio na uelewa wa masuala mtambuka kama katiba.

Fikiria huyu ni mbunge aliyekaa bungeni kwa mihula miwili lakini hata katiba ya nchi tu haijui halafu utarajie aende kumwakilisha mwananchi ipasavyo kweli?
 
“Mama nimekaa sana benchi naomba unikumbuke”
 
Kama ndivyo hivyo, CCM imevunja katiba ya chama.. Kama ndivyo hivyo Samia asingepitishwa kiuni namna ile
Kwani hujui kuwa: Politics is the art of the possible- siasa ni kufanya yanayowezekana kwa wakati huo.
CCM ilichofanya ni kuepusha fitina ambavyo vilibainika kuwepo.
 
Duuh kwaio mbunge hajui katiba ya nchi inasemaje. Kazi kwelikwel labla wafanyie reform ya katiba
 
Haina shida.. Kama ndio anaanza basi watoe fomu na kwa wanaCCM wengine Kisha kura za maoni zipigwe waone kama huyo Samia wao atapata hata kura moja..🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…