Naunga mkono hoja ya Mjumbe C.Magori

Naunga mkono hoja ya Mjumbe C.Magori

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20211212-184955_Chrome.jpg

Naunga mkono hoja ya Magori. Bajeti nzima iwekwe wazi, mwekezaji, wanachama mashabiki na wapenda soka tuchangie ujenzi wa uwanja

Updates
Screenshot_20211213-102004_Chrome.jpg

Rais wa Simba Sc ameitika na kuahidi kuchangia bilioni 2. Wanachama tunatakiwa tumjibu kwa vitendo. Mimi naahidi laki 5
 
SIMBA ni kama katoto kadg kanapoanza kubalehe .....na kuanza kuwaletea kibur wazaz wake...........

Then baadae kanajirud baada ya kugundua ilikuwa balehe tu
 
Hna umaskini wako buku ndio utachangia unadhani kujenga uwanja ni kama mavuzi kila mtu anayo?

Simba kuna vilaza sana aseeh
Bando tu ....hana ..anatumia wi fi ya jiran ....afu et achangie bando[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pale bunju vyoo tu mmeshindwa ndo mtaweza kujenga uwanja wa B45
 
View attachment 2041637

Naunga mkono hoja ya Magori. Bajeti nzima iwekwe wazi, mwekezaji, wanachama mashabiki na wapenda soka tuchangie ujenzi wa uwanja
Nani atoe pesa za kujenga uwanja? labda zile hisa zilizobakia kwa MO ambazo hata thamani yake bado haitoshi kujenga uwanja mkubwa. Nilitarajie mumkosoe Babra kwa kutokufuata taratibu za kukaa VIP ila watu wameamua kumtetea mtovu wa nidhamu.
 
Nyinyi mlivyodanganywa na Hersi kuwa msipochukua ubingwa muwaulize GSM,mlithubutu hata kunyanyua midomo yenu baada ya kukosa huo ubingwa,au wote mliufyata na mkaendelea kuwanyenyekea kama Miungu wenu.
 
Back
Top Bottom