OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Liliskika chizi moja kutoka msimbazi.Kama wataweza kuunganisha nguvu za wanachama na wapenzi tutajenga uwanja sio wapuuzi wachache wajipatie pesa kupitia mgongi wa simba
Ulikuwa na bwana msimbazi akakuacha maana unavyodandia mambo ya msimbazi si bure wewe na kabwili ni wamojaLiliskika chizi moja kutoka msimbazi.
Wewe na Barbra ni wamojaUlikuwa na bwana msimbazi akakuacha maana unavyodandia mambo ya msimbazi si bure wewe na kabwili ni wamoja
Bando tu ....hana ..anatumia wi fi ya jiran ....afu et achangie bando[emoji23][emoji23][emoji23]Hna umaskini wako buku ndio utachangia unadhani kujenga uwanja ni kama mavuzi kila mtu anayo?
Simba kuna vilaza sana aseeh
Azam walijengaje wao ,mbona unawaza kwa makalioHna umaskini wako buku ndio utachangia unadhani kujenga uwanja ni kama mavuzi kila mtu anayo?
Simba kuna vilaza sana aseeh
Ubongo wako utumie vizuri!Hna umaskini wako buku ndio utachangia unadhani kujenga uwanja ni kama mavuzi kila mtu anayo?
Simba kuna vilaza sana aseeh
Naunga mkono hoja,🤝View attachment 2041637
Naunga mkono hoja ya Magori. Bajeti nzima iwekwe wazi, mwekezaji, wanachama mashabiki na wapenda soka tuchangie ujenzi wa uwanja
Nani atoe pesa za kujenga uwanja? labda zile hisa zilizobakia kwa MO ambazo hata thamani yake bado haitoshi kujenga uwanja mkubwa. Nilitarajie mumkosoe Babra kwa kutokufuata taratibu za kukaa VIP ila watu wameamua kumtetea mtovu wa nidhamu.View attachment 2041637
Naunga mkono hoja ya Magori. Bajeti nzima iwekwe wazi, mwekezaji, wanachama mashabiki na wapenda soka tuchangie ujenzi wa uwanja
Nani atoe pesa za kujenga uwanja? labda zile hisa zilizobakia kwa MO ambazo hata thamani yake bado haitoshi kujenga uwanja mkubwa. Nilitarajie mumkosoe Babra kwa kutokufuata taratibu za kukaa VIP ila watu wameamua kumtetea mtovu wa nidhamu.