Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ndio maana nasema kila siku wewe hufai kuwa jukwaa hili mapishi linakufaaAzam walijengaje wao ,mbona unawaza kwa makalio
Wewe kuruta tangu lini ukanifundisha jinsi ya kutumia ubongo?Ubongo wako utumie vizuri!
Hii jf ina watu wa hovyo.Simba tuna hela.
Hiyo mifuko miwili ya cement si ukajengee choo kwako tuWakiamua mbona tunaweza kujenga majukwaa kwa awamu, wakianzisha hamasa kila sehemu hadi kwenye tv changia simba arena, mbona ata me nitatoa mifuko miwili ya cement
Tuna kwenye namba hii 0787****02[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Nina elfu 25 hapa
Umechangia nn timu yako ww au maneno tu?Hiyo mifuko miwili ya cement si ukajengee choo kwako tu
Simba ina watu wa hovyo sana [emoji3]
Tuanzie kwako kwanza umechangia au porojo?Umechangia nn timu yako ww au maneno tu?
Yanga wao Ni Kama mbibi aliyeingia kwny menopause tayari lkn bado haamini Kwamba Sasa yeye Ni mkavu na hana utelezi tena.SIMBA ni kama katoto kadg kanapoanza kubalehe .....na kuanza kuwaletea kibur wazaz wake...........
Then baadae kanajirud baada ya kugundua ilikuwa balehe tu
Unaweza kuta nabishana na mtoto wangu wa barehe, acha nilale niwaze ya keshoTuanzie kwako kwanza umechangia au porojo?
Simba ajawai kushindwa vita.Hii jf ina watu wa hovyo.
Barehe =✖️Unaweza kuta nabishana na mtoto wangu wa barehe, acha nilale niwaze ya kesho
Vipi ile ya wabotswana iliishia wapi?Simba ajawai kushindwa vita.
mlikuwa wapi siku zote izo Azam baba laoView attachment 2041637
Naunga mkono hoja ya Magori. Bajeti nzima iwekwe wazi, mwekezaji, wanachama mashabiki na wapenda soka tuchangie ujenzi wa uwanja