Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Hamjambo wote Wana Jf?
Katika kikao cha Bajeti ya Serikali 2026_2027,Akiichangia Msukuma, alilalamikia sana swala la Leseni ya Udereva Wa Magari na pikipiki kuwa ili uweze kuhuisha Leseni Yako, lazima Tena uende kusoma/Chuo!
Mtu kaendesha gari zaidi ya miaka30, Bado anategemewa Nyumbani, Kodi ya nyumba, Watoto Ada, Huku mwajiri hawezi kumpa posho mtu ambaye hayupo kazini.
Kwa mawazo yangu Naona huu ni usumbufu usiokuwa na ulazima kwani kunakuwa na jipya lipi huko barabarani, ambalo dereva halijui?
Madaktari na Manesi Wanahuisha Leseni zao Kila Mwaka ,Ambao wanahusika na Afya/Uhai wa Binadamu na Wanyama,ambao ni Muhimu kuliko Leseni ya Udereva Huwa HAya mambo ya kwenda Tena darasani ili kuhuisha Leseni zao, hayapo!
Pia hii ni kupoteza muda bila Tija yoyote, Kama Kuna mabadiliko ya Sheria za barabarani, chapisheni vitabu au vioeperushi hata kwa kuuza.
Bila kusahau wasanifu Majengo na Barabara pia Wanahuisha Leseni zao ,hawaingii Darasani!
Hili la Leseni limetoka wapi, kama madaktari/Manesi,Mainjinia hawaendi Darasani,dereva Yeye Kuna nini kipya?
Tusipote muda bila sababu za msingi na zisizo na Tija,kama mtu alijifunza na cheti anacho, tuendelee kuhuisha pasipo masharti mapya,Yangu ni Hayo tuu.
Ahsanteni.