Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Udereva una kipya kipimo barabarani Hadi uende Tena shule! Mambo mengine hayajitaji hata usumbufu, barabara ni zilezile! Madaktari na Manesi hawaendi kozi katika Kupata upya Leseni, wakati magonjwa mapya yanaibuka Kila Mara,huko barabarani Kuna nini kipya!Wapuuzi sana nina cheti cha PSV eti kuendesha truck wanataka cheti chake na nilipoenda kuongeza muda wakafuta E ili niende shule tena sijui wiki nne Nchi ya kipuuzi sana hii kwa kuwa huwa natumia leseni yao kuhamisha magari makubwa kutoka yard nimeamua kutokwenda shule yao ya uongo hiyo naendesha XT harafu nikafundishwe kwa ngarangara kama si kupoteza hela ni nini wameamua kutuibia kirahisi sana aisee..
Kupotezeana muda na kuleteana misongo ya mawazo, Maana Kuna mtihani wa kufanya usipofaulu,huna Leseni!Viongozi humo maofisini hawana akili
Natoka na gari Durban mpaka Nairobi eti wakanifundishe Arusha ambao ukimchukua mwalimu wao ukampa gari bara bara ya Winnie Mandela road kuelekea four ways ukiwa ndani atagonga hatafu ndio akufundishe ni kupoteza hela hiyo E siisomi aisee..kuna kipindi hapo niliulizwa barua ya uhakiki nikawa nawashangaa mnataka nitumie barua au leseni yenu kama hii leseni hamuitambui nipeleleni mahakamani sio kuniambia nitumie barua Nchi ya hovyo sana tumekosa watu wenye vichwa kila kukicha wanakuja na usumbufu road..Udereva una kipya kipimo barabarani Hadi uende Tena shule! Mambo mengine hayajitaji hata usumbufu, barabara ni zilezile! Madaktari na Manesi hawaendi kozi katika Kupata upya Leseni, wakati magonjwa mapya yanaibuka Kila Mara,huko barabarani Kuna nini kipya!
Tutafika pazuri, Maana Hata wao wanayaona kuwa ni ujinga tuu.Natoka na gari Durban mpaka Nairobi eti wakanifundishe Arusha ambao ukimchukua mwalimu wao ukampa gari bara bara ya Winnie Mandela road kuelekea four ways ukiwa ndani atagonga hatafu ndio akufundishe ni kupoteza hela hiyo E siisomi aisee..kuna kipindi hapo niliulizwa barua ya uhakiki nikawa nawashangaa mnataka nitumie barua au leseni yenu kama hii leseni hamuitambui nipeleleni mahakamani sio kuniambia nitumie barua Nchi ya hovyo sana tumekosa watu wenye vichwa kila kukicha wanakuja na usumbufu road..
Leseni yenyewe ukienda Nje wakitaka ku scan kupata taarifa zako hakuna kitu wanapata ipo kwenye mfumo wa kizamani lakini bado tunasumbuana mno.Tutafika pazuri, Maana Hata wao wanayaona kuwa ni ujinga tuu.
Niliwaambia muda wa wiki nne nasoma nini naomba truck lolote hapa nilitoe kama inawezekana wakasema mtihani wa darasani una marks nyingi kuliko test ya road nikaona wapo kutaka rushwa tu hawa nikawaacha.Kupotezeana muda na kuleteana misongo ya mawazo, Maana Kuna mtihani wa kufanya usipofaulu,huna Leseni!
Ukimsikiliza Msukuma YouTube, Utaona kabisa wanajitengenezea upigaji wa waziwazi!Niliwaambia muda wa wiki nne nasoma nini naomba truck lolote hapa nilitoe kama inawezekana wakasema mtihani wa darasani una marks nyingi kuliko test ya road nikaona wapo kutaka rushwa tu hawa nikawaacha.
Duuh!Leseni yenyewe ukienda Nje wakitaka ku scan kupata taarifa zako hakuna kitu wanapata ipo kwenye mfumo wa kizamani lakini bado tunasumbuana mno.
Sio Haki kabisaNg'ombe wakamuliwe maziwa hadi yatoke damu
Hong Kong na UK inabidi nitumie ya SA ya kwetu hakuna kitu wanapata labda waipigie picha kwenye store kubwa unatakiwa uonyeshe Leseni mkuu haisomi wanabaki kuipiga picha hata maeneo wanayouza magari utalazimika kutumia traffic register ya SA na si leseni yetu..Duuh!
Hebu toa ushauri ili hii yetu ya kuingia darasani Tena!Isome kwa nchi za wenzetu!Hong Kong na UK inabidi nitumie ya SA ya kwetu hakuna kitu wanapata labda waipigie picha kwenye store kubwa unatakiwa uonyeshe Leseni mkuu haisomi wanabaki kuipiga picha hata maeneo wanayouza magari utalazimika kutumia traffic register ya SA na si leseni yetu..
Hata kama ni pesa, Mtu kaendesha gari, miaka30 Kuna jipya lipi Huko barabarani?Wantaka kupiga pesaa