Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio taarifa yake na ndio ukweli halisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio taarifa yake na ndio ukweli halisi , eti kwamba Yanga ilijaza zaidi uwanja kuliko Simba huu ni uongo , kila mtu ana macho
View attachment 1948523
huyu kweli ni taburarasa zero sifuri, hao watu 986k wameainishwa kwenye taarifa gani?
Anataka kusemaje?
Ukweli mtupu utopolo tukutane tar 25
Kwani kapinga nini apo. Ivi hujawahi kuona mechi za yanga wakiingia na washabiki wa simba pia mechi za simba yanga si wanaingia?!!Watu wametoa takwimu sasa yeye anapinga kwa maneno tu alete data zikionyesha hili analolisema.
La sivyo haya aloandika itakua tu ni propaganda tu.
Kingine nachojiuliza hivi ukiwa shabiki wa Simba ni lazima kila linalosemwa au lenye faida kwa Yanga lazima upinge?
Au kwa upande wa simba nako ni lazima shabiki wa Yanga upinge?
We need to grow
Takwimu za makombe ya Tusker kutoka TFF tunaziamini ila takwimu zingine za TFF hatuziamini.Takwimu za TFF maigizo matupu.
Tusker hahiitaji takwimu kujua wewe kilaza kwa kuwa inajulikana fainali ngapi zimechezwa na uto kafa mbele ya mnyama na wachezaji wenu wamelia uwanjan uchungu wa kulikosa hilo kombe,, ila hili la idadi ya mashabiki mmepozwa kiana na tff mana la sivyo mngesusa au mngeenda cas,, mana siku hizi utopolo ukitaka uwafurahishe waambie jezi zenu nzuri,mmekodi ndege,mmepata jembe/manara etc. Hapo kama ni demu hata nyapu atakupaTakwimu za makombe ya Tusker kutoka TFF tunaziamini ila takwimu zingine za TFF hatuziamini.
Leta data kamili mzeeWalioleta takwimu walitaka tu waonekane wanafanya kazi ila takwimu zao hazina uhalisia, mechi ya kwanza pamoja na yanga kuwa mwenyeji lakini Simba ndio walijaza uwanja. Simba ndiyo timu inayoongoza mashabiki wake kusafiri na timu pia wameonyesha jinsi wanavyoiba mapato kwa kupika takwimu kwani katika mechi za mikoani za simba na yanga hakuna mechi inayoingiza mashabiki chini ya 10000 ila kuna timu zimepata mashabiki wachache
Leta data kamili mzee
Kama mashabiki wa Simba wanapenda mpira,mbona hhawaendi kwenye mechi za KMC na Ruvu Shooting?