rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
uliangalia mechi ya kwanza Simba na yanga , kama uliangalia utaona robo tatu walikuwa washabiki wa Simba lakini yanga ndio walikuwa wenyeji.Leta data kamili mzee
Kwa nchi za wenzetu wanaposema timu mwenyeji na timu ngeni wanaweka hadi idadi ya tiketi kwa timu mwenyeji na timu ngeni ndio maana wao wakitoa takwimu huwezi kuzipinga.
Kuna mechi kama za mbeya zilizohusisha Simba na yanga viliuzwa hadi vishina vya tiketi kwa hali kama hiyo unawezaje kupata takwimu.
Unaweza kunieleza mapato ya mechi zote mbili za Simba na Yanga kwa sababu hakuna sehemu yoyote waliyotutajia wala kutuletea mchanganuo wakati kwa sasa ni rahisi kwa sababu mambo yanaenda kimtandao.