Naunga mkono kauli ya Ezekiel Kamwaga

Naunga mkono kauli ya Ezekiel Kamwaga

Leta data kamili mzee
uliangalia mechi ya kwanza Simba na yanga , kama uliangalia utaona robo tatu walikuwa washabiki wa Simba lakini yanga ndio walikuwa wenyeji.
Kwa nchi za wenzetu wanaposema timu mwenyeji na timu ngeni wanaweka hadi idadi ya tiketi kwa timu mwenyeji na timu ngeni ndio maana wao wakitoa takwimu huwezi kuzipinga.
Kuna mechi kama za mbeya zilizohusisha Simba na yanga viliuzwa hadi vishina vya tiketi kwa hali kama hiyo unawezaje kupata takwimu.
Unaweza kunieleza mapato ya mechi zote mbili za Simba na Yanga kwa sababu hakuna sehemu yoyote waliyotutajia wala kutuletea mchanganuo wakati kwa sasa ni rahisi kwa sababu mambo yanaenda kimtandao.
 
Mambo mengine hayahitaji hata nguvu kubwa Kuya defend coz utaonekana wewe ndo huna akili na ni kituko

Leo hii baada ya kutoka hizo data na TFF inaonekana haina akili na ni Wapumbavu
 
Kwamba Yanga huwa wanakuwa wengi uwanjani kuzidi Simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sio hivyo!

Maana yake kuwa mechi za Yanga zinawatazamaji wengi Zaidi kuliko mechi za klabu nyingine yeyote.
 
uliangalia mechi ya kwanza Simba na yanga , kama uliangalia utaona robo tatu walikuwa washabiki wa Simba lakini yanga ndio walikuwa wenyeji.
Kwa nchi za wenzetu wanaposema timu mwenyeji na timu ngeni wanaweka hadi idadi ya tiketi kwa timu mwenyeji na timu ngeni ndio maana wao wakitoa takwimu huwezi kuzipinga.
Kuna mechi kama za mbeya zilizohusisha Simba na yanga viliuzwa hadi vishina vya tiketi kwa hali kama hiyo unawezaje kupata takwimu.
Unaweza kunieleza mapato ya mechi zote mbili za Simba na Yanga kwa sababu hakuna sehemu yoyote waliyotutajia wala kutuletea mchanganuo wakati kwa sasa ni rahisi kwa sababu mambo yanaenda kimtandao.

Mzee unajua data?

.......Hicho ulicholeta ni porojo.

Bodi ya ligi wamekuja na data, Mudi fc mnaleta stori za vijiweni.

...........Yanga ndio timu kubwa nchi hii.
 
Mzee unajua data?

.......Hicho ulicholeta ni porojo.

Bodi ya ligi wamekuja na data, Mudi fc mnaleta stori za vijiweni.

...........Yanga ndio timu kubwa nchi hii.
wewe ulikuwa unakimbia hesabu kwenye somo la takwimu ndio maana umekubali kulishwa matango pori, labda kama wamehesabu na misukule yenu ,liyoweka kwenye jezi zenu
 
Hata Kama data kamili hazipo Ila ni wazi takwimu Zina uongo uliopitiliza. Mfano Simba na Yanga kwa mechi za nyumbani wanaingiza mashabiki zaidi ya 20,000 ili tukifanya tu wanaingiza 20,000 kwa mechi 15 ni watu laki 3. Mechi za Simba na Yanga watu huvuka 50,000. Kwa akili ya kawaida tu. Simba na Yanga mashabiki wao walioingia uwanjani ni laki 4 na zaidi. Ila takwimu zinakwambia Yanga 141,000 na Simba 138,000
Mwenzetu takwimu zako umetoa wapi?
 
Back
Top Bottom