Naunga mkono kauli ya Ezekiel Kamwaga

Watu wametoa takwimu sasa yeye anapinga kwa maneno tu alete data zikionyesha hili analolisema.
La sivyo haya aloandika itakua tu ni propaganda tu.

Kingine nachojiuliza hivi ukiwa shabiki wa Simba ni lazima kila linalosemwa au lenye faida kwa Yanga lazima upinge?
Au kwa upande wa simba nako ni lazima shabiki wa Yanga upinge?

We need to grow
 
Walioleta takwimu walitaka tu waonekane wanafanya kazi ila takwimu zao hazina uhalisia, mechi ya kwanza pamoja na yanga kuwa mwenyeji lakini Simba ndio walijaza uwanja.

Simba ndiyo timu inayoongoza mashabiki wake kusafiri na timu pia wameonyesha jinsi wanavyoiba mapato kwa kupika takwimu kwani katika mechi za mikoani za simba na yanga hakuna mechi inayoingiza mashabiki chini ya 10000 ila kuna timu zimepata mashabiki wachache
 
Kweli hata Manara ni mshabiki wa Simba ila sasa hivi anakuwepo uwanjani, utopolo wakifungwa anachekea ndani ya barakoa akizidiwa anaenda kuchekea chooni😁
 
Kwamba Yanga huwa wanakuwa wengi uwanjani kuzidi Simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwani kapinga nini apo. Ivi hujawahi kuona mechi za yanga wakiingia na washabiki wa simba pia mechi za simba yanga si wanaingia?!!
 
Ezekiel Kamwaga ni Kichaa Aisee!

Kwa hiyo ana tuaminisha kuwa Yanga SC ina mvuto zaidi hata kuvutia mashabiki wa vilabu vingine kuitazama? Kwamba Simba haina mvuto machoni pa watu hata hakuna mwenye muda wa kutaka kutazama mechi zao.


 
Huwaga Simba wananifurahishaga sana. Huwa wao wanaaminigi ni wengi kuwazidi wananchi. Yaan what a stock of laughter. Mkishajazanaga ujinga tuu basi. Mnalijua hili kabisaa. Its only a banch of a small group making noise na kujipa uhalali wa wingi

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Takwimu za makombe ya Tusker kutoka TFF tunaziamini ila takwimu zingine za TFF hatuziamini.
Tusker hahiitaji takwimu kujua wewe kilaza kwa kuwa inajulikana fainali ngapi zimechezwa na uto kafa mbele ya mnyama na wachezaji wenu wamelia uwanjan uchungu wa kulikosa hilo kombe,, ila hili la idadi ya mashabiki mmepozwa kiana na tff mana la sivyo mngesusa au mngeenda cas,, mana siku hizi utopolo ukitaka uwafurahishe waambie jezi zenu nzuri,mmekodi ndege,mmepata jembe/manara etc. Hapo kama ni demu hata nyapu atakupa
 
Leta data kamili mzee
 
Hata Kama data kamili hazipo Ila ni wazi takwimu Zina uongo uliopitiliza. Mfano Simba na Yanga kwa mechi za nyumbani wanaingiza mashabiki zaidi ya 20,000 ili tukifanya tu wanaingiza 20,000 kwa mechi 15 ni watu laki 3. Mechi za Simba na Yanga watu huvuka 50,000. Kwa akili ya kawaida tu. Simba na Yanga mashabiki wao walioingia uwanjani ni laki 4 na zaidi. Ila takwimu zinakwambia Yanga 141,000 na Simba 138,000
Leta data kamili mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…