MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo anaweza Kukuelewa ukisema Kipa wa Yanga Metacha Mnata ( Yanga SC ) na Beki wa Kushoto Mohammed Hussein Zimbwe Jr (Tshabalala ) walistahili Kuachwa (Kutojumuishwa ) katika Kikosi cha Taifa Stars chenye Wachezaji 30 kilichotajwa leo na Kocha Mkuu Ndayiragije.
Kama kuna Wachezaji ambao Form yao ipo juu na imeendelea kuwa juu kwa sasa katika Vilabu vyao na tunawaona hata katika Mechi za VPL ni Kipa Metacha Mnata na Beki Mohammed Hussein ila nimesikitishwa mno Kuchwa (Kutojumuishwa ) Kwao Kikosini. Kwa Form mbovu aliyonayo sasa Beki Shomary Kapombe ningesikia Kaachwa wala nisingeshangaa kwani angestahili.
Kama tu Kipa Mnata na Beki Hussein ni Wagonjwa (Majeruhi ) nitamwelewa zaidi Kocha, ila kama hawaumwi nadhani Kocha amekosea sana tu.