Naunga mkono kinidhamu kuachwa kwa Jonas Mkude Taifa Stars, ila kuachwa kipa Mnata na beki Tshabalala sijamwelewa Kocha Ndayiragije

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo anaweza Kukuelewa ukisema Kipa wa Yanga Metacha Mnata ( Yanga SC ) na Beki wa Kushoto Mohammed Hussein Zimbwe Jr (Tshabalala ) walistahili Kuachwa (Kutojumuishwa ) katika Kikosi cha Taifa Stars chenye Wachezaji 30 kilichotajwa leo na Kocha Mkuu Ndayiragije.

Kama kuna Wachezaji ambao Form yao ipo juu na imeendelea kuwa juu kwa sasa katika Vilabu vyao na tunawaona hata katika Mechi za VPL ni Kipa Metacha Mnata na Beki Mohammed Hussein ila nimesikitishwa mno Kuchwa (Kutojumuishwa ) Kwao Kikosini. Kwa Form mbovu aliyonayo sasa Beki Shomary Kapombe ningesikia Kaachwa wala nisingeshangaa kwani angestahili.

Kama tu Kipa Mnata na Beki Hussein ni Wagonjwa (Majeruhi ) nitamwelewa zaidi Kocha, ila kama hawaumwi nadhani Kocha amekosea sana tu.
 
Meko kasema timu ya taifa tuachane na wachezaji wa simba na yanga.
 
Shangaa zaidi kwa TFF kumfungashia virago kocha Emmanuel Amunike, walitegemea eti Taifa stars izifunge Argeria bingwa na mshindi wa pili Senegal kwenye mashindano ya Africa cup yaliyopita.
 
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo anaweza Kukuelewa ukisema Kipa wa Yanga Metacha Mnata ( Yanga SC ) na Beki wa Kushoto Mohammed Hussein Zimbwe Jr ( Tshabalala ) walistahili Kuachwa ( Kutojumuishwa ) katika Kikosi cha Taifa Stars chenye Wachezaji 30 kilichotajwa leo na Kocha Mkuu Ndayiragije.

Kama kuna Wachezaji ambao Form yao ipo juu na imeendelea kuwa juu kwa sasa katika Vilabu vyao na tunawaona hata katika Mechi za VPL ni Kipa Metacha Mnata na Beki Mohammed Hussein ila nimesikitishwa mno Kuchwa ( Kutojumuishwa ) Kwao Kikosini. Kwa Form mbovu aliyonayo sasa Beki Shomary Kapombe ningesikia Kaachwa wala nisingeshangaa kwani angestahili.

Kama tu Kipa Mnata na Beki Hussein ni Wagonjwa ( Majeruhi ) nitamwelewa zaidi Kocha, ila kama hawaumwi nadhani Kocha amekosea sana tu.
Kuwa kocha na ww utimize maono na utashi wako. Otherwise utaumia sn kwenye soccer la BONGO

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Metacha ametoshea hapo hapo alipo sasa ulitaka amtoe nani? Kaseja..au Manula? wakati wake bado..!
 
Hebu wekeni hicho kikosi nasisi wa kimbangulile tusuuze macho.
 
Kikubwa hatuna kocha. Baada ya Ndairagije, TFF wahakikishe kocha ajaye angalau ana uzoefu wa kufundisha timu za Taifa. Wasije kujifunzia kwetu.
Wa sasa hakuwa na uzoefu huo . Kwenye ngazi ya club hakuwa na mafanukio makubwa kwa maana ya kutwaa taji lolote.
Hizi cheap options zinaigharimu nchi.
 
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo anaweza Kukuelewa ukisema Kipa wa Yanga Metacha Mnata ( Yanga SC ) na Beki wa Kushoto Mohammed Hussein Zimbwe Jr ( Tshabalala ) walistahili Kuachwa ( Kutojumuishwa ) katika Kikosi cha Taifa Stars chenye Wachezaji 30 kilichotajwa leo na Kocha Mkuu Ndayiragije.

Kama kuna Wachezaji ambao Form yao ipo juu na imeendelea kuwa juu kwa sasa katika Vilabu vyao na tunawaona hata katika Mechi za VPL ni Kipa Metacha Mnata na Beki Mohammed Hussein ila nimesikitishwa mno Kuchwa ( Kutojumuishwa ) Kwao Kikosini. Kwa Form mbovu aliyonayo sasa Beki Shomary Kapombe ningesikia Kaachwa wala nisingeshangaa kwani angestahili.

Kama tu Kipa Mnata na Beki Hussein ni Wagonjwa ( Majeruhi ) nitamwelewa zaidi Kocha, ila kama hawaumwi nadhani Kocha amekosea sana tu.
Naunga mkono hoja 100%.
 
Kwani wachezaji lazima watoke Simba na Yanga?
 
Kikubwa hatuna kocha. Baada ya Ndairagije, TFF wahakikishe kocha ajaye angalau ana uzoefu wa kufundisha timu za Taifa. Wasije kujifunzia kwetu.
Wa sasa hakuwa na uzoefu huo . Kwenye ngazi ya club hakuwa na mafanukio makubwa kwa maana ya kutwaa taji lolote.
Hizi cheap options zinaigharimu nchi.
Hamna kocha mle.
 
Huyu mrundi anatutaka nini sie? Afadhali hata Julio.
 
Kama TFF hawana kitengo chautafiti wa kujua makocha wazuri kwa aina ya malipo yetu wamchukue koch's wa Yanga.
Ana CV iliyoshiba na msimu guy Yang's itautwaa ubingwa.
 
Wakati kocha anamuita Nyoni si nyinyi mlipinga ooh Nyoni achezi kwenye timu yake imekuaje ameitwa au mshajitoa ufahamu ebu mwacheni kocha afanye kazi yake.
Unaposema kuwa si nyinyi naomba unionyeshe Kiushahidi ni wapi ID hii hii ilianzisha Uzi wa Kupinga Kuitwa kwa Mchezaji Nyoni huko Taifa Stars.
 
Back
Top Bottom