Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Tanzania ingeweza kabisa kuwa moja ya the best tourist destination kama akili na maarifa aliyotupa Mungu Mwenyezi tungeyatumia, vivutio vyote vya utalii kwa kaisi kikubwa ni natural au God creative na sio maarifa ya Mtanzania...

Ni kweli uwanja wa Chato unaweza kuwa productive kama kutakuwa na nia yakuufanya kuwa productive kwa maana ya kuweka uwekezaji wa kibiashara katika eneo hilo kama kurahisha logistic za utalii wa ziwani, kujenga viwanda hata vitatu vya kusindika samaki na kupafanya kuwa fishing port na kuweka fish troller zisizopungua nne, kuweka electric train itakayofika kahama,shinyanga,Geita na Mwanza, Kujenga ile smelter yetu maeneo hayo, kuweka viwanda vya nguo hata vinne maana pamba ipo pale.. Tofauti na hapo itakuwa WHITE ELEPHANT kama miradi mingine tu ya hovyo..
 
President Jakaya Kikwete has reiterated that construction of an international airport at Omukajunguti area in Misenyi District would start soon.

President Kikwete disclosed this soon after his arrival at Bukoba Airport, where he laid a foundation stone on the ongoing expansion of the airport. The project is estimated to cost a total of 21bn/- upon completion.

Meanwhile, the Minister for Transport, Dr Harrison Mwakyembe, has directed Tanzania Airports Authority (TAA) to speed up compensating residents in the village so they can relocate to another area.

He gave the directive on Monday when he toured Kajunguti village in Misenyi District. The area has been earmarked for the construction of an international airport to cater for large aircraft to replace Bukoba Airport, which can only handle small aircraft.
Dr Mwakyembe called upon the TAA management to speed up the exercise of paying 12bn/- compensation to people who would be affected by construction of the international airport.

He said funds had already been set aside by the government, adding that completion of the Kajunguti International Airport would boost trade and tourism among East African Community (EAC) member states of Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi.

The minister also visited Bukoba Airport ahead of President Kikwete’s tour. Mr Kikwete was yesterday expected to launch a multimillion-shilling water project in Muleba District.
The Muleba District Executive Officer, Oliva Mavunge said over 29,000 people in Kabale, Kamishango and Katanga wards would get clean water under the project. She said over 70m/- had to date been spent on the project.

REASONS WHY OMUKAJUNGUTI

MUTUKULA: Mutukula is border between Tanzania and Uganda. Mutukula border is located Western part of Tanzania in Kagera region. Mutukula boredr serves the border for goods destined to DRC Congo Kisangani, Bukavu, Goma, Bunagana border. Mutukula border is expected to be one of the busiest border due to discovery of Oil and gas in Lake Albertine region in Uganda. Mutukula is very close Tanzania designated Omukajunguti International Airport ( From Omukajunguti to Mutukula is about 25kms). Mutukula and Omukajunguti International Airport are well position in Kagera as center of Great Lakes Region. Also Mutukula serves the border for goods going to South Sudan.

RUSUMO:
Rusumo border is border between Tanzania and Rwanda. Rusumo is located in Kagera region. Rusumo serves as the border the goods destined to Rwanda and DRC Congo Bukavu and Goma. Rusumo is one of the busiest border for trusks carrying containers and vehicles going to Rwanda and DRC Congo Goma and Bukavu. Rusumo is tourists attraction because of Rusumo Falls where biggest Hydro-Electricity Power station is constructed to serves Tanzania, Rwanda and Burundi. Offices of Customs single territory has been constructed at Rusumo border.

KABANGA
Kabanga is border between Tanzania and Burundi. Kabanga is located in Kagera region. Kabanga border serves transit point for goods destined to Burundi and DRC Congo- North Kivu and South Kivu. Kabanga also is home of Nickel minerals. Customs Single territory has been established at Kabanga border.

Kikwete: Building of Kajunguti airport to start soon | elnnet

CC Pascal Mayalla
 
Hii mada imetengenezwa katika mfumo wa kufungamana yani ipo meshed. Kila upande ipo, wakupinga na wale wa ndio mzee kwa kila kitu wote wamewekewa kipande cha kukifurahia.
Yaani umepiga punch nzito sana.

Ujumbe umemfikia mhusika. Nadhani amekuelewa lakini ndio ashafanya hivyo hawezi kubadili kitu, kilichobaki tutafute tu namna ya kufanya hii project ya kuifanya Chato Satellite city ifanikiwe isijekuwa obselete project wakati wadau wake watakapokuwa hawana power ya kuendeleza project hii vinginevyo itakuwa a total waste of resources.

Mkuu siku nyingine usiweke mada kama hizi wengine tunawashwa washwa kutaka kuchangia.
 
Kuandika kwako kiujanja huchoki? Leo umechemka yaani umeonyesha huna hata fikra za kufikiria nje ya box... hata kufanya karisechi huwezi fikiria..unambeza tu..

Yaani na wewe ni kuwashwa washwa. nilitegemea utaongelea hata juu ya wananchi wa maeneo ya huko.. na jinsi watakavyofaidika katika mengi.. kuliko sasa wanavyotumia masaa mengi kufikia uwanja wa ndege wa karibu.

Leo umechemka na wewe umekuwa mdaku mwenye wivu ulivyombeza Mkulu tena.

Pole yako kumbe hauna maujuzi kabisa zaidi ya udaku.. ngoja nikuchekeeee ha ha haaaaa
We ni lumbesa la mavi
 
Unanipa tabu kutafakari ni namna gani nitakuokoa kwenye kile chumba chenye giza siku watakapokubinya Mapu*mbu
 
Tanzania ingeweza kabisa kuwa moja ya the best tourist destination kama akili na maarifa aliyotupa Mungu Mwenyezi tungeyatumia, vivutio vyote vya utalii kwa kaisi kikubwa ni natural au God creative na sio maarifa ya Mtanzania...

Ni kweli uwanja wa Chato unaweza kuwa productive kama kutakuwa na nia yakuufanya kuwa productive kwa maana ya kuweka uwekezaji wa kibiashara katika eneo hilo kama kurahisha logistic za utalii wa ziwani, kujenga viwanda hata vitatu vya kusindika samaki na kupafanya kuwa fishing port na kuweka fish troller zisizopungua nne, kuweka electric train itakayofika kahama,shinyanga,Geita na Mwanza, Kujenga ile smelter yetu maeneo hayo, kuweka viwanda vya nguo hata vinne maana pamba ipo pale.. Tofauti na hapo itakuwa WHITE ELEPHANT kama miradi mingine tu ya hovyo..
Kaka Mungu akubariki, umenifurahisha sana kwa sababu wewe ni wale ambao husema this glass is half full, tofauti na wale wanaosema this glass is half empty.

Mtazamo chanya huleta maendeleo, mtazamo hasi huongeza umaskini.
 
Kaka Mungu akubariki, umenifurahisha sana kwa sababu wewe ni wale ambao husema this glass is half full, tofauti na wale wanaosema this glass is half empty.

Mtazamo chanya huleta maendeleo, mtazamo hasi huongeza umaskini.
Phillipo umeelewa lakini huu uandishi?? Soma tena!
 
Wanabodi,

Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa kimataifa eneo la Omukajunguti na badala yake uwanja wa kimataifa unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi Naunga Mkono Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika kushuhudia miundombinu na kula raha Chato.

Justification why not Omukajunguti
imetolewa kuwa eneo hilo ni swamp area, ambayo ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is
swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows, watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.

Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.

Kama akiwa waziri tuu alishusha the best in Chato, sasa hivi alivyo, atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya ajabu, vitu vinaota, na kuna kitu moja kimeshuka na kupanda juu, hii kitu sii kitu sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather, hadi WiFi Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili, kama haya tunayoyaona ni miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.

Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni natural God given only, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, kuna mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast). Disney Land ni manmade, kuna watu wanakwenda Egypt kwa Pyramids, Paris just for ile Eiffel Tower, London kwa London Bridge, Italy kwa Lening Tower of Pisa, Hanging Garden of Babylon, etc etc, nasi tuta create kitu, watalii wanamiminika tuu Chato. Mfano tukijenga zoo na kuwaweka the big five, tumemaliza.

Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.

Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
Ungetuwekea na picha ingenoga zaidi.........!!
 
Hahahaa Pasco you are so creative, kwa mtu mwenye mawenge hawezi kuona ujumbe uliomo hasa kwa wenzangu wa upande wa 'if you go it slowly you can't cure the disease of corruption', kwa uandishi wako I salute you.
Wengi hawajamwelewa
 
Wewe jamaa ni kwamba huwa unataka upewe usemaji wa ikulu, ukurugenzi, ukuu wa wilaya au target yako ya 'kujikomba komba haswa huwa ni ipi
 
Wewe jamaa ni kwamba huwa unataka upewe usemaji wa ikulu, ukurugenzi, ukuu wa wilaya au target yako ya 'kujikomba komba haswa huwa ni ipi
Mkuu.
Hii thread before huja comment unatakiwa kusoma between the lines vinginevo utaonekana kiazi tu. Yaani mtu mwenye uwezo finyu wa kufikiri.

Pole mkuu
 
Back
Top Bottom