Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Hivi zimebaki nafasi ngapi za Ma DC?
 
Huyu jamaa paskali anaongea kusifia ila mantiki yake ni anaponda, ni kama vile MTU akuambie jamaa yangu wew msafi, lakini ukijicheki ni mchafu halafu jamaa anazidi kukazania msafi sana wewe, very smart
Hasaa ndio lengo la mleta mada. Uzuri ni kwamba amekosoa na kuweka mbadala wa kusahihisha kosa kwa kuifanya Chato iwe kivutio kwa watalii na wawekezaji ili pesa zilizotumika kujenga miundombinu zisiende bure.
 

ukiacha wananchi wa huko chato labda kufaidika kwao ni kupanda ndege nina uhakika hata wewe hadi muda huu hujawahi kuipanda hiyo ndege sasa sijui wa huko chato itakuwaje kwenye usafir ni punda
 


Naunga mkono hoja yako Bw. Pascal Mayalla, unajuwa wabongo wengi si watu wa kuona mbali na hawapendi kuambiwa ukweli au hata maendeleo tu wanaona shida, hawataki kuyakubali. Kiwanja cha ndege cha Chato kitasaidia pia wasafiri wa Burundi, Rwanda na DRC kutoka Dar. Nasema hivi kwa sababu kuna wengine wanapenda sana usafiri wa mabasi ili wapate kushuhudia vitu njiani kama mimi mwenyewe. Kwa sie tunaosafiri hizi nchi mara kwa mara huu uwanja wa Chato utatusaidia sana kufupisha safari zetu. Tutakuwa tunachukua ndege from Dar mpaka Chato then from there tunajiendesha tu au kuchukua mabasi mpaka our final destination which will be a matter of hours badalal ya siku kadhaa.
 
Jamaa unajua kuandika, hasa kipindi hiki cha mbumbumbu wengi. You are right... Lazima chattle iwe international kiaina...inawezekana badae kukawa hakuna umuhimu wa kutua DSM au KIA au mwanza ...watatua chattle na kuzunguka around tourist attractions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…