Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Sijui kama Paskali alitaka kututania au kututisha tu alipoandika jina la Gbadolite kwenye kichwa cha thread? Alitaka kutupa hofu?? Maana Gbadolite ni mji wa Kongo alipotoka Mobutu na aliwekeza mabilioni huko katika majumba yake, miundombinu na pia uwanja wa ndege mkubwa. Basa soma taarifa kuhusu Gbadolite leo:
Gbadolite airport enabled him to charter Concorde, the fastest passenger plane in the world, for extravagant trips to Europe. In 2015 the vast runway, bordered by wild growing grass, welcomes only two or three tiny aircraft a week from the UN and one commercial operator. Most of the portable staircases lie idle and broken near the remnant of a helicopter engine and a row of flagless poles while, at the top of the defunct control tower, two windows lie shattered on the floor.

At the check-in desk a luggage conveyor belt appears long dead, while wall paintings of topless women and muscle-bound men are peeling away. Up a stairway that lacks bannister or handrail, 25-year-old mosaics of African villages are surrounded by graffiti. At the nearby VIP arrivals lounge, uniformed soldiers camp out with music pounding from a stereo. (Chanzo: Guardian UK Where Concorde once flew: the story of President Mobutu's 'African Versailles')


Hata kama Chato haitaleta watalii, angalau natumaini haitakuwa vibaya vile!!
 
Ni kweli kabisa kwamba Nabii huwa hakubaliki kwao !! Sijui ni kwanini !!!
Hata hapa kuna kautabiri nilikaweka, tuisubiri miaka 10!.
P
 
The best in sarcasm
 
Bwa mdogo hivi hii misemo yako MBONI sikuhizi siioni πŸ˜‚ πŸ˜‚ naona umikuwa mtu wa KUUNGA MKONO TU UUU SIKUHIZI... kuna kauteuzi unategemea Auuuuu πŸ™„ πŸ˜›πŸ˜³
 
Bwa mdogo hivi hii misemo yako MBONI sikuhizi siioni πŸ˜‚ πŸ˜‚ naona umikuwa mtu wa KUUNGA MKONO TU UUU SIKUHIZI... kuna kauteuzi unategemea Auuuuu πŸ™„ πŸ˜›πŸ˜³
Mama SAπŸ’― ni supper kabisa!. Tuseme nini?. Sisi pia ni binadamu, kama mtu udhaifu wako ni huu Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Halafu ndio akawa...!. Hapa kuna kusema tena?.
Acha tuu kazi iendelee.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…