Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Sijui kama Paskali alitaka kututania au kututisha tu alipoandika jina la Gbadolite kwenye kichwa cha thread? Alitaka kutupa hofu?? Maana Gbadolite ni mji wa Kongo alipotoka Mobutu na aliwekeza mabilioni huko katika majumba yake, miundombinu na pia uwanja wa ndege mkubwa. Basa soma taarifa kuhusu Gbadolite leo:
Gbadolite airport enabled him to charter Concorde, the fastest passenger plane in the world, for extravagant trips to Europe. In 2015 the vast runway, bordered by wild growing grass, welcomes only two or three tiny aircraft a week from the UN and one commercial operator. Most of the portable staircases lie idle and broken near the remnant of a helicopter engine and a row of flagless poles while, at the top of the defunct control tower, two windows lie shattered on the floor.

At the check-in desk a luggage conveyor belt appears long dead, while wall paintings of topless women and muscle-bound men are peeling away. Up a stairway that lacks bannister or handrail, 25-year-old mosaics of African villages are surrounded by graffiti. At the nearby VIP arrivals lounge, uniformed soldiers camp out with music pounding from a stereo. (Chanzo: Guardian UK Where Concorde once flew: the story of President Mobutu's 'African Versailles')


Hata kama Chato haitaleta watalii, angalau natumaini haitakuwa vibaya vile!!
 
Wanabodi,
mji wa Chato, baadae unaweza kuja kuwa mji wa Ggabolite, au Yamoussoukro, na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili!. Kama haya tunayoyaona ni ya hii miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwaje?. Mimi naamini Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.
Paskali
cc. britanicca
Ni kweli kabisa kwamba Nabii huwa hakubaliki kwao !! Sijui ni kwanini !!!
Hata hapa kuna kautabiri nilikaweka, tuisubiri miaka 10!.
P
 
Wanabodi,

Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa Bukoba, eneo la Omukajunguti na badala yake sasa uwanja huo unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi naunga mkono ujenzi wa uwanja huo wa ndege wa Chato, una Justification fulani!, mji wa Chato, baadae unaweza kuja kuwa mji wa Ggabolite, au Yamoussoukro, watalii watamiminika kula raha Chato na kushuhudia miundombinu ya kupendeza, hivyo naunga mkono uwanja wa ndege wa maana ujengwe tuu Chato.

Justification why not Omukajunguti
Imetolewa justification kwa nini uwanja wa ndege wa Bukoba, haujengi tena eneo la Omukajunguti kwa maelezo kuwa eneo hilo ni swamp area!. Excuse hii ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows?!. Watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga good water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni wengi, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.

Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel in town ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.

Kama Akiwa Waziri Tuu Alishusha The Best in Chato, Sasa Hivi Alivyo, Atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato ya sasa, na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya umeme, au speed ya ajabu, vitu vinaota kama uyoga!, na kuna kitu moja kimeshuka kwa kupanda juu kama mbingu!, hii kitu ni kitu ya ukweli, sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather!, hadi Free WiFi ya 4G mjini Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili!. Kama haya tunayoyaona ni ya hii miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwaje?. Mimi naamini Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.

Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni lazima viwe natural God given only, kama mbuga za wanyama, milima, mito na mabonde tuu, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man kama mambo ya kale, au made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, kuna mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast). Disney Land ni manmade, kuna watu wanakwenda Egypt kushuhudia Pyramids, watu wanakwenda Paris just to see ile Eiffel Tower. Watu wanakwenda London kuona the London Bridge, Italy kuona the Lening Tower of Pisa, watu wanakwenda Iraq kuangalia the Hanging Garden of Babylon, etc etc, nasi tuta create kitu, watalii wanamiminika tuu Chato. Mfano tukijenga zoo na kuwaweka the big five, tumemaliza.

Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu, wana moyo wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.

Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
The best in sarcasm
 
Wanabodi,

Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa Bukoba, eneo la Omukajunguti na badala yake sasa uwanja huo unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi naunga mkono ujenzi wa uwanja huo wa ndege wa Chato, una Justification fulani! Mji wa Chato, baadae unaweza kuja kuwa mji wa Ggabolite, au Yamoussoukro, watalii watamiminika kula raha Chato na kushuhudia miundombinu ya kupendeza, hivyo naunga mkono uwanja wa ndege wa maana ujengwe tuu Chato.



Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
Bwa mdogo hivi hii misemo yako MBONI sikuhizi siioni 😂 😂 naona umikuwa mtu wa KUUNGA MKONO TU UUU SIKUHIZI... kuna kauteuzi unategemea Auuuuu 🙄 😛😳
 
Mama SA💯 ni supper kabisa!. Tuseme nini?. Sisi pia ni binadamu, kama mtu udhaifu wako ni huu Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Halafu ndio akawa...!. Hapa kuna kusema tena?.
Acha tuu kazi iendelee.
P
haya dogo endelea kusifiasifia Rais HASSANI atakuona muda si mrefu..

1649677006798.png
 
Back
Top Bottom