usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,898
Usitembelee akili za Magufuli tembelea akili zako, kwahiyo uwanja unajengwa ili uvutie viwanda.Sasa wewe na wenzako kwanini hamjaulizana hilo na kwanini unaona haliwezekani.. au pia hujui kuwa itavutia mengi sana huko..
Hata wewe ukifikiria kiwanda utaweza kimbilia huko ukijua itakuwa na mengi marahisi kuliko kuwa kwente miji mikubwa katika mengi..
JPM hawezi kufanya jambo bila kufikiria mbele.. mie namuaminia atawashangaza wengi sana..
Usishangae mfano Apple ikisema itajenga data centre huko pia... eeeh yes makampuni makubwa na nyie mnajiita wa mjini mkakimbilia huko..
Kwa sasa kaeni huko mbali na sisi wengine na vifikra vyenu negative
Pascal Mayalla huwa ni vigumu kumuelewa kama hujasoma threads zake ukiwa umetuliaMkuu Paschal na wewe siku zingine sijui huwa unatumia kinywaji gani jioni? Mwanza kwenyewe hawana uwanja wa ndege, Mkulu akimaliza muda wake nani atakuwa anaenda Chattle?
HahahaEndelea kuwachanganya watu wasiojulikana mara kushoto mara kulia
Mkuu nimekunyooshea mikono umeeleza kwa fasihi kubwa mnoo mpaka nimeelewa sasa la Omukajunguti silisemi tena Pascal MayallaWanabodi,
Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa kimataifa eneo la Omukajunguti na badala yake uwanja wa kimataifa unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi Naunga Mkono Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika kushuhudia miundombinu na kula raha Chato.
Justification why not Omukajunguti
imetolewa kuwa eneo hilo ni swamp area, ambayo ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is
swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows, watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.
Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.
Kama akiwa waziri tuu alishusha the best in Chato, sasa hivi alivyo, atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya ajabu, vitu vinaota, na kuna kitu moja kimeshuka na kupanda juu, hii kitu sii kitu sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather, hadi WiFi Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili, kama haya tunayoyaona ni miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.
Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni natural God given only, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, kuna mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast). Disney Land ni manmade, kuna watu wanakwenda Egypt kwa Pyramids, Paris just for ile Eiffel Tower, London kwa London Bridge, Italy kwa Lening Tower of Pisa, Hanging Garden of Babylon, etc etc, nasi tuta create kitu, watalii wanamiminika tuu Chato. Mfano tukijenga zoo na kuwaweka the big five, tumemaliza.
Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.
Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.
Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.
Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
Some times you speak point....Wanabodi,

kweli kuna ujumbe mzito sana kwenye hili andiko..Hahahaa Pasco you are so creative, kwa mtu mwenye mawenge hawezi kuona ujumbe uliomo hasa kwa wenzangu wa upande wa 'if you go it slowly you can't cure the disease of corruption', kwa uandishi wako I salute you.
Je kwa wazee wa majimaji (Ruvuma) ?! Mi nadhani walithubutu japo mjerumani hakuwa na mchezo mchezoKwa faida yako na wengine wote ni kwamba Mashujaa pekee wa Tanzania wanatokea tu katika hii Mikoa mitatu ( 3 ) tajwa na ndiko pia wanapatika Wanamume na siyo Wanaume. Mikoa yenyewe ni:
Mikoa mingine yote ambayo sijaitaja hapo wanatoka tu ' Wanaume ' watupu na bahati nzuri hata wenyewe wanajijua / wanalitambua.
- Mara ( Musoma ) Kimedani unaitwa Kombania A
- Iringa Kimedani unaitwa Kombania B
- Tabora Kimedani unaitwa Kombania C
Kama ni hivyo ilihitaji tu airstrip na si international airport !!Kutoka Dar au Dodoma moja kwa moja hadi Chato. Itapunguza sana kero za misafara barabarani.
Ironically mayalla kakupa moyo...opps read between the lines pls.Hizo akili zako kaa nazo mwenyewe
Subirini mbaki mataaa mkitamani msingeandika majanga ya nyie kuvunjana mioyo.. nyie ni watanzania wachache ambao ni mabomu na mnatia aibu.. fikra zenu za - muwe mnakaa nazo na hii mnaonyesha ubaguzi mkubwa na dharau kwa watu wanaoishi upande huo wa nchi.
Its an irony opps read btn the linesSalute kwako mzee wa njaa. Hili bandiko kama umekunywa kihambule (pombe ya kienyeji kwa wahehe) huwezi kulielewa. Nazani hi ni njia nzuri ya kukwepa kupimwa mkojo awamu hii
Kituko kweli huyo at apple wajenge data centre huyu ni shidaUsitembelee akili za Magufuli tembelea akili zako, kwahiyo uwanja unajengwa ili uvutie viwanda.
kabisaOmukajunguti nitajenga mie nikiwa Rais wa kanda ya Ziwa, huyu Kato katuacha sana
Mkuu Paschal na wewe siku zingine sijui huwa unatumia kinywaji gani jioni? Mwanza kwenyewe hawana uwanja wa ndege, Mkulu akimaliza muda wake nani atakuwa anaenda Chattle?