Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Uandishi wa paschal tulijifunza A level kuwa ni ironic
Wanabodi,

Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa kimataifa eneo la Omukajunguti na badala yake uwanja wa kimataifa unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi Naunga Mkono Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika kushuhudia miundombinu na kula raha Chato.

Justification why not Omukajunguti
imetolewa kuwa eneo hilo ni swamp area, ambayo ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is
swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows, watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.

Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.

Kama akiwa waziri tuu alishusha the best in Chato, sasa hivi alivyo, atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya ajabu, vitu vinaota, na kuna kitu moja kimeshuka na kupanda juu, hii kitu sii kitu sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather, hadi WiFi Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili, kama haya tunayoyaona ni miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.

Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni natural God given only, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, kuna mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast). Disney Land ni manmade, kuna watu wanakwenda Egypt kwa Pyramids, Paris just for ile Eiffel Tower, London kwa London Bridge, Italy kwa Lening Tower of Pisa, Hanging Garden of Babylon, etc etc, nasi tuta create kitu, watalii wanamiminika tuu Chato. Mfano tukijenga zoo na kuwaweka the big five, tumemaliza.

Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.

Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
Hongera paschal kwa uandishi fikirishi.
Wakati tunasoma literatute Advance lijifunza uchaguzi wa maneno katika kuwasilisha ujumbe ile kitu wanaita "ironic " selection of word with positive mood to mean negative
 
Watuwekee zoo huyo aliyesukumiziwa Ikulu wamfungie humo ili asidhuru watu na wamfunge ndomo ili asiweze kutemea watu mate au kuwatusi na mdomo wake mchafu.

Kitu kimoja ninachoomba Mungu tu nisije kuwa rais wa Tanzania maana mtanikoma aisee hapa mjomba anawadekeza tu nahisi Nina vichembe chembe vya udikteta kwa kweli nitamshughulikia instantly kila anayeleta fyoko fyoko na kiherehere sikopeshi papo kwa hapo akuna cha mswalie mtume wa msali yesu kristu ni kibano tu heavy hadi akili iwake sawa hahahahah
 
Wanabodi,

Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Hahaha... Umenichekesha sana mkuu!
Mungu akulinde brother
 
Hata kama angetaka wakati wa Nyerere nchi ilikuwa mufilisi angejenga kwa kutumia nini? Labda maneno matamu kutoka kwinywani mwake.

Mayala nimekupata vizuri kabisa ndo maana hukuteuliwa kuwa msemaji wa rais mkuu maana ukitolea sababu zako hapo juu basi kila mji unastahili kujengewa uwanja wa kimataifa.
Kwa mfano simiyu haina hata kiwanja cha ndege kabisa lkn ina historia ya kuwa na mji maarufu wa wachawi uitwao GAMBOSHI ambao nafikiri hata watalii pia wanatamani kuja kuona na kuijua gamboshi.
My take!maendeleo ni muhimu kwa kila sehemu na wananchi wote wanahitaji ingekuwa hivyo basi kwa mwalimu nyerere Butiama ingekuwa kama Paris ufaransa.
Mkulu anajitekenya mwenyewe kabisa akitoka madarakani pia chattle kwisha
 
Wanabodi,

Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa kimataifa eneo la Omukajunguti na badala yake uwanja wa kimataifa unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi Naunga Mkono Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika kushuhudia miundombinu na kula raha Chato.

Justification why not Omukajunguti
imetolewa kuwa eneo hilo ni swamp area, ambayo ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is
swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows, watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.

Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.

Kama akiwa waziri tuu alishusha the best in Chato, sasa hivi alivyo, atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya ajabu, vitu vinaota, na kuna kitu moja kimeshuka na kupanda juu, hii kitu sii kitu sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather, hadi WiFi Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili, kama haya tunayoyaona ni miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.

Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni natural God given only, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, kuna mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast). Disney Land ni manmade, kuna watu wanakwenda Egypt kwa Pyramids, Paris just for ile Eiffel Tower, London kwa London Bridge, Italy kwa Lening Tower of Pisa, Hanging Garden of Babylon, etc etc, nasi tuta create kitu, watalii wanamiminika tuu Chato. Mfano tukijenga zoo na kuwaweka the big five, tumemaliza.

Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.

Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
mkuu paskali maumivu ya kuchelewa yote umeyasahau,vipi kuhusu zile taa wanaovukia punda bado zinafanya kazi,kweli mtu kwao!
 
Nadhani paskali baada ya yaliyokukuta pale ikulu,saSa umebuni mbinu mpya ya uandishi wa kukwepa kipimo cha mkojoo.

Umeamua kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.si haba
 
Issue sio kuwa kuna watu wanaishi huko Chato bali economic stability ya eneo husika, je kuna biashara gani ya kuufanya uwanja uwe productive, active wakati wote na sio dormant.

Naomba niambie justification ya kujenga barabara ya msata bagamoyo na kile kipande cha kuiunganisha na Morogoro road? Wakati kulikuwa na barabara ya dsm to chalinze na chalinze segera tena kile kipande cha chalinze mzee kikaongezwa upana ukawa kama uwanja wa mpira? Niambie gharama zilizo tumika kufanya hii kazi ukilinganisha na gharama za chato iapoti? Ukumbuke wakati huo hata madawati tu mashule ilikuwa ni issue ya sera ya kuombea kura kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.
 
Umenitisha kidogo, viwanja vyote viwili vilijengwa na marais madikteta, mabuto kuku wa kubanga na Fascist Felix boingy!!!!????

Mfano dicteta Felix B aliamua kuhamisha mji Mkuu wa nchi na kuupeleka kijijini kwao, na kijiji chenyewe akakibadilisha jina na kukiita jina la mama yake Yamoussoukro!!!????? Ndio maana wazungu wana mashaka kama waafrika nao ni homo sapiens sapiens, wanahisi bado evolution iko kwe process.
 
Acha kuabudu wazungu nyumbu wewe usifananishe yaliyoko ulaya na afrika na maendeleo ya ulaya yako tayari lakini kwa afrika hado sana kwa tuna safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom