Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Kwa vijana wa siku hizi set up ya akili iko tumboni hawawezi kukuelewa! Hapa umegonga tena utosini.
 
Ni jambo zuri kuwa na uwanja wa ndege pale chato. Nchi jirani zaweza utumia, Kuna vivutio vya utalii na pia ndo mwanzo wa kuchangamsha akili ni nini wewe kama mtanzania unaweza fanya, kuchangamkia fursa zilizopo ipasavyo au za kutengeneza fursa mpya ili kunufaika na kukuza uchumi wa nchi yako.
Uwanja uliojengwa na Mobutu ulikufa kwasababu ya mapinduzi yaliyomtoa madarakani, hilo lazima mtambue sio kwa sababu hakukuwa na umuhimu wake. Upinzani walishindwa kuuendeleza moja yaweza kuwa hawakutaka kujishughulisha na aina yoyote ya sera zake pili rushwa, hali ya kiuchumi na visasi pia.
 
Huu uzi umenifanya nijue uelewa wa baadhi ya members wa JF

Hapa hivi sasa sio jukwaa la Great Thinkers peke yao bali pia great sinkers kibao.
 
ahahhaha nawazaga siku 'pjm' akikushika mkononi wewe Pascal Mayalla walah utajuta !nimesoma huku nacheka sana jaman !dah!nahakika hata wewe mwenyewe ukiwa unaandika huwa uancheka kwanza hahahahahahahha my ribs
 
Pascal naona umeungana na Askofu wa ZNZ kumwambia ukweli waziwazi kwamba jamaa yuko kama Mugabe na ikulu ikapongeza. keep it up.
 
Wakati nachangia kwa mara ya kwanza nilihisi Pascal kakosea na hii na baada ya kusoma aya mbili tatu tu nikaona upuuzi.. bt kwa alichoandika yafaa uchukue muda wako kuelewa.. nimeelewa sana.. pascal yuko sahihi..
 
Magufuli ni chaguo la Mungu. Na ni baraka kwa Tanzania. Tulistarehe mno, tunahitaji haya ili kuamsha akili zetu.

Mungu ibariki Tanzania
 
Wanabodi,

Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa kimataifa eneo la Omukajunguti na badala yake uwanja wa kimataifa unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi Naunga Mkono Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika kushuhudia miundombinu na kula raha Chato.

Justification why not Omukajunguti
imetolewa kuwa eneo hilo ni swamp area, ambayo ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is
swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows, watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.

Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.

Kama akiwa waziri tuu alishusha the best in Chato, sasa hivi alivyo, atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya ajabu, vitu vinaota, na kuna kitu moja kimeshuka na kupanda juu, hii kitu sii kitu sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather, hadi WiFi Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili, kama haya tunayoyaona ni miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.

Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni natural God given only, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, kuna mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast). Disney Land ni manmade, kuna watu wanakwenda Egypt kwa Pyramids, Paris just for ile Eiffel Tower, London kwa London Bridge, Italy kwa Lening Tower of Pisa, Hanging Garden of Babylon, etc etc, nasi tuta create kitu, watalii wanamiminika tuu Chato. Mfano tukijenga zoo na kuwaweka the big five, tumemaliza.

Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.

Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
paskali sa zingine nashindwa kukusoma...
yaani heading tu imenikatisha kuendelea na mimi nii jibu hiyo heading tu kama isomekavyo.
hiviii.. tuna viwanja hapa bongo vikubwa tena vikuu ambavyo vinajulikana kimataifa mbona hao watalii unaotegemea watavutwa na kiwanja cha chato watatokea wapi???
wameshindwa kuitumia KIA na DIA nown as JKNIA leo useme ******** AIRPORT ndo italeta watalii?!!!
 
Back
Top Bottom