Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Wanabodi,

Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa Bukoba, eneo la Omukajunguti na badala yake sasa uwanja huo unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi naunga mkono ujenzi wa uwanja huo wa ndege wa Chato, una Justification fulani!, mji wa Chato, baadae unaweza kuja kuwa mji wa Ggabolite, au Yamoussoukro, watalii watamiminika kula raha Chato na kushuhudia miundombinu ya kupendeza, hivyo naunga mkono uwanja wa ndege wa maana ujengwe tuu Chato.

Justification why not Omukajunguti
Imetolewa justification kwa nini uwanja wa ndege wa Bukoba, haujengi tena eneo la Omukajunguti kwa maelezo kuwa eneo hilo ni swamp area!. Excuse hii ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows?!. Watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga good water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni wengi, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.

Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel in town ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.

Kama Akiwa Waziri Tuu Alishusha The Best in Chato, Sasa Hivi Alivyo, Atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato ya sasa, na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya umeme, au speed ya ajabu, vitu vinaota kama uyoga!, na kuna kitu moja kimeshuka kwa kupanda juu kama mbingu!, hii kitu ni kitu ya ukweli, sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather!, hadi Free WiFi ya 4G mjini Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili!. Kama haya tunayoyaona ni ya hii miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwaje?. Mimi naamini Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.

Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni lazima viwe natural God given only, kama mbuga za wanyama, milima, mito na mabonde tuu, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man kama mambo ya kale, au made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, kuna mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast). Disney Land ni manmade, kuna watu wanakwenda Egypt kushuhudia Pyramids, watu wanakwenda Paris just to see ile Eiffel Tower. Watu wanakwenda London kuona the London Bridge, Italy kuona the Lening Tower of Pisa, watu wanakwenda Iraq kuangalia the Hanging Garden of Babylon, etc etc, nasi tuta create kitu, watalii wanamiminika tuu Chato. Mfano tukijenga zoo na kuwaweka the big five, tumemaliza.

Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu, wana moyo wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.

Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
Mara paaa umeukwaa udc[emoji23]
 
Chezea fasihi wewe.nawaonea huruma wale wanaoshangilia kila kitu kwa hili bandiko wametoka zeeero walah!
mkuu tumemuelewa na sisi tunaendeleza tu fasihi ...jamaa anaandika kibabe sana yaani ka anakwenda ka anarudi ghafla akata konaaa
 
Kama fasihi ni shida kwako, kabla hujashangilia kama wale mazwazwa washangilia kila kitu, basi ili umuelewe PASKAL jaribu kujishughulisha kuelewa Ggabolite na YAMOUSSOUKRO ni nini, hapo utakua umeelewa uandishi uliotumika.
 
Kuweka rekodi sawa, Mkapa hakufanya makosa kuhusu kwao, alijenga daraja la Mto Rufiji.

Ila Paskali nimekuelewa sana kwenye bandiko lako, imenikumbusha novel moja maarufu iitwayo " The Beautyful Ones Are Not Yet Born " iliyoandikwa na Mwanafasihi nguli kutoka Ghana Ayi Kwei Armah
dereva wa basi na kondakta wanahusika mzee baba.
 
Kuweka rekodi sawa, Mkapa hakufanya makosa kuhusu kwao, alijenga daraja la Mto Rufiji.

Ila Paskali nimekuelewa sana kwenye bandiko lako, imenikumbusha novel moja maarufu iitwayo " The Beautyful Ones Are Not Yet Born " iliyoandikwa na Mwanafasihi nguli kutoka Ghana Ayi Kwei Armah
majibu ya kondakta kwa mzee wa watu aliyekuwa akisinzia, mh.... 'you un.... ed son of the b... you think this bus belongs to your grandfather?" miaka hiyo 2005 umenikumbusha mbali
 
Mkuu Paschal na wewe siku zingine sijui huwa unatumia kinywaji gani jioni? Mwanza kwenyewe hawana uwanja wa ndege, Mkulu akimaliza muda wake nani atakuwa anaenda Chattle?
inahitaji umakini wa juu sana kumwelewa mayala a.k.a njaa soma aya za juu mwanzo nadhani hao ndio utamwelewa anachokisema. Pili soma aya za mwisho huku chini utajua anasema nini
 
Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel in town ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.....

Haya ni matusi kwa JPM
 
Ninyi hamjawahi kumuelewa Mayala,hiki alichoandika ni vijembe kwa utawala,anawazodoa kitaalamu,soma in between lines,utaelewa anachomaanisha.

Gabolite ni uwanja wa ndege ulijengwa na Dikteta Mobutu Seseseko kijijini kwao,

Alipoondoka kijiji kimekuwa pori,hakuna ndege hata moja inayotua.

Paschal anamfananisha anaehenga Chato na Aliejenga Gabolite,ukisoma andiko la Paschal usisome kama gazeti,huyo jamaa anaandika kifasihi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa Bukoba, eneo la Omukajunguti na badala yake sasa uwanja huo unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi naunga mkono ujenzi wa uwanja huo wa ndege wa Chato, una Justification fulani!, mji wa Chato, baadae unaweza kuja kuwa mji wa Ggabolite, au Yamoussoukro, watalii watamiminika kula raha Chato na kushuhudia miundombinu ya kupendeza, hivyo naunga mkono uwanja wa ndege wa maana ujengwe tuu Chato.

Justification why not Omukajunguti
Imetolewa justification kwa nini uwanja wa ndege wa Bukoba, haujengi tena eneo la Omukajunguti kwa maelezo kuwa eneo hilo ni swamp area!. Excuse hii ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows?!. Watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga good water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni wengi, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.

Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel in town ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.

Kama Akiwa Waziri Tuu Alishusha The Best in Chato, Sasa Hivi Alivyo, Atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato ya sasa, na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya umeme, au speed ya ajabu, vitu vinaota kama uyoga!, na kuna kitu moja kimeshuka kwa kupanda juu kama mbingu!, hii kitu ni kitu ya ukweli, sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather!, hadi Free WiFi ya 4G mjini Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili!. Kama haya tunayoyaona ni ya hii miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwaje?. Mimi naamini Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.

Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni lazima viwe natural God given only, kama mbuga za wanyama, milima, mito na mabonde tuu, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man kama mambo ya kale, au made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, kuna mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast). Disney Land ni manmade, kuna watu wanakwenda Egypt kushuhudia Pyramids, watu wanakwenda Paris just to see ile Eiffel Tower. Watu wanakwenda London kuona the London Bridge, Italy kuona the Lening Tower of Pisa, watu wanakwenda Iraq kuangalia the Hanging Garden of Babylon, etc etc, nasi tuta create kitu, watalii wanamiminika tuu Chato. Mfano tukijenga zoo na kuwaweka the big five, tumemaliza.

Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu, wana moyo wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.

Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca

kwahiyo Chato kuna magorofa siku hizi?
 
Mwezi January nilipita hapo Chato! Dah! kichekesho ... ukifika stand kuu kuna mabinti sijui wa wapi, wamevishwa vitisheti vya rangi ya kijani wanazunguka magari kwa ajili ya kuwauzia mahindi yaliyochemshwa, maziwa mgando, viazi, gonja n.k. Yaani Chato ni hovyo kabisa labda pajengwe uwanja wa ndege ili watalii waweze kujionea hali duni ya watanzania.
Kwa hilo la kuonesha umaskini wa watanzania wanaoishi kwenye nchi tajiri naunga mkono hoja - uwanja ujengwe Chato.
Tofauti na hapo .... hayo ni maamuzi ya mtu mmoja ... iweje aamue kwa ajili ya wengi? Huo wa BUkoba uliamuliwa na wengi na sijui ni kwa nini ulicheleweshwa?
 
Ninyi hamjawahi kumuelewa Mayala,hiki alichoandika ni vijembe kwa utawala,anawazodoa kitaalamu,soma in between lines,utaelewa anachomaanisha.

Gabolite ni uwanja wa ndege ulijengwa na Dikteta Mobutu Seseseko kijijini kwao,

Alipoondoka kijiji kimekuwa pori,hakuna ndege hata moja inayotua.

Paschal anamfananisha anaehenga Chato na Aliejenga Gabolite,ukisoma andiko la Paschal usisome kama gazeti,huyo jamaa anaandika kifasihi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aendelee kuwafumba watu wakati anajua wabongo wengi ni mbumbumbu! Hatari hiyo!
 
Back
Top Bottom