Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Labda pengine wengi wa viongozi wa dini ni makanjanja, nikimaanisha hawafahamu na hawako kiwito wa kiutumishi hasa wa kusimamia wana kondoo kwa usawa, hekima, kwa jinsi NENO, lisemavyo, watumishi hao baadhi wameonyesha kujiingiza moja kwa moja kwenye baadhi ya vyama vya kisiasa as if ni watendaji wa vyama hivyo, huku wakisahau dhima nzima na wajibu wao wa kiutumishi kwa umma, hasa kuwarejesha wana kondoo wale wapoteao na kuwaombea, kuwapa kitubio ili wamrudie muumba, wapate salama yao ya sasa mpaka akhera, #Tujisahihishe.