Naunganishaje Simu na Tv smart tv (Casting)

Ebu elekeza android simu zote nyumban zipo
Kwa Adnroid.
Washa Tv, ingia menu kisha tafuta sehemu imeandikwa Screen sharing, baada ya hapo bonyeza hapo itaanza kusearch....wakati Tv inaendelea kusearch, washa WiFi kwenye simu yako, nenda setting kisha nenda more connection>>cast, bonyeza cast, itaanza kuitafuta Tv yako. Na baada ya sekunde 3 kule kwenye Tv utaanza kuona icons za simu yako.
Hapo unakuwa umemaliza mchezo.
Karibu.




 

Attachments

  • Screenshot_20240405-193252.jpg
    26.9 KB · Views: 20
Hiyo screensharing inapatikana kwa wapi kwenye Tv
 
Kuna Home, Tv, HDMI 1, HDMI 2, AV, Streaming channels & media player
Sasa sijaelewa kwa menu ya Tv yako
Ila yangu kwenye mfululizo huo ipo pia Screen sharing hapohapo.
Ukibonyeza home je?
Mimi natumia Hisense...option hiyo ipo juu tu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…