Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #21
asante baby girlKwa Adnroid.
Washa Tv, ingia menu kisha tafuta sehemu imeandikwa Screen sharing, baada ya hapo bonyeza hapo itaanza kusearch....wakati Tv inaendelea kusearch, washa WiFi kwenye simu yako, nenda setting kisha nenda more connection>>cast, bonyeza cast, itaanza kuitafuta Tv yako. Na baada ya sekunde 3 kule kwenye Tv utaanza kuona icons za simu yako.
Hapo unakuwa umemaliza mchezo.
Karibu.
View attachment 2954746
View attachment 2954747
View attachment 2954749