Nje ya mada kidogo , naona jamaa amekula vance moja qali, halafu juu katupia kilokole siku nyengine mwambie avae angalau cadet au jinsi mkuu na iwe don't torch anatuaibisha vance enthusiasts .Ndio simu ambayo natumia kulogin huku na kupost huko na huko ina 64GB ndani na 3GB of ram android 16 na Oneui 6.1
Ni yangu 100% na utakapo inunua palepale ndio nitatoa Samsung Account as proof ya kuwa mmiliki wake
Ninashida na 180k tu
Ipo good condition na nimeitumie for long time, nitaweka picha
Napatikana Dar kinondoni
Njoo PM
View attachment 3119561View attachment 3119562