Kashaongea tena "hayo ni maneno tu"Lakini si alishasema mapema kuwa, yeye kwenda Yanga labda awe amekufa!?.
Tena akaenda mbali zaidi akadai hata apewe hela zote za benki kuu (ambazo naamini zinazidi huo mshahara wake wanaousifia) hawezi kwenda huko labda awe amekufa.
Kwahiyo jamaa ni "dead body" purely.
~Over my dead body.~
Mpili alizama ziwa Tanganyika. Kwani walimtoa? [emoji12][emoji12]Safari ya mzee mpili iliishia kigoma
Haji safari yake mwisho tarehe 25 kwa mkapa
But anapata bunus na salary ya milion Tisa Kwa mwezSimba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama.
Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu.
1.Kufungwa kwenye Yanga Day.
2. Aliyewafunga Ana jina baya.
3.Tukio la mama J. (Kashfa)
4. Kufungwa na Rivers ya Nigeria.
5.Kufanyiwa fujo msemaji wa Rivers.
6. Kisasi kinachowasubiri Nigeria.
Kwa haya yote naliona anguko la Bugati.
Superbug
Acha bangi, kwani Simba ilivyofungwa na Libolo ya Angola au ilivyosajili mchezaji anaitwa Serunkuma au Simba ilivyokuwa inakalia hamsa hamsa, Simba sifa umaarufu wake haukupungua?Simba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama.
Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu.
1.Kufungwa kwenye Yanga Day.
2. Aliyewafunga Ana jina baya.
3.Tukio la mama J. (Kashfa)
4. Kufungwa na Rivers ya Nigeria.
5.Kufanyiwa fujo msemaji wa Rivers.
6. Kisasi kinachowasubiri Nigeria.
Kwa haya yote naliona anguko la Bugati.
Superbug
Arudi tu ccm maana hao ni dugu moja..akawe mweneziSimba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama.
Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu.
1.Kufungwa kwenye Yanga Day.
2. Aliyewafunga Ana jina baya.
3.Tukio la mama J. (Kashfa)
4. Kufungwa na Rivers ya Nigeria.
5.Kufanyiwa fujo msemaji wa Rivers.
6. Kisasi kinachowasubiri Nigeria.
Kwa haya yote naliona anguko la Bugati.
Superbug