Upo kama mimi, toka juzi, jana mpaka muda huu najifikiria ila moyo unakataa kunipa jibu la kwenda!Binafsi huwa sina imani sana na Taifa stars, na huyu Amunike ndo simuelewi kabisa. Bado nafkiria mara mbili mbili kuhusu kwenda taifa leo
the Legend☆
Si unajua wanasiasa wa bongo wanajifanya wanajua kila kitu,Nadhan Watanzania pia tumekua nyuma hatuna moyo was kujitolea tunawasubiri wanasiasa.
Wachezaji was zamani wangejitokeza pamoja na watu maarufu kuiunga mkono ingekua poa.
Makonda sio mdau makubwa wa soka kwa hiyo ilitakiwa spate support kutoka kwa wajuzi was haya mambo.
Licha ya hayo mapungufu tumeonesha uthubutu.
Ningekua Dar ningetoa full support.
Waganda wakitubania kwa kutaka sifa ya unbeaten record kwenye qualifying tutakata lile bomba la mafuta la Hoima lisipeleke mafuta Uganda... Tutamsaidia kagame kumchapa na tutamtoa madarakani Museven. Kwanza Rais wao kasoma bure pale UDSM kwa jasho lwru Watanzania.Staz 2
Cranes 1
tukija kule cape Verde 1
Lesotho 0
au inaweza kuwa draw
Mwisho wa Kundi
Cranes na Staz watakuwa wamefuzu.
mwisho kabisa
Tz
Ug
Kny
Burund
zitakuwa zimeungana kwenda kushiriki
Sababu za Staz kushinda Ni sababu za ki Diplomasia
lakini sababu za ufundi HAKUNA NA HAWAWEZI
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mechi ilishachezwa mezani tangu zamani. Stars anashinda za kutosha tu.
Wewe ni mpumbavu sana[emoji86]Unaweza ukaona wanapigwa kimoko tu!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],yaani Cha muhimu jiwe asiende tu,ila jiwe akienda tu taifa msiba!! Jiwe Ni bundi akionekana tu msiba,hili shetani likienda kesho taifa,basi stard watapigwa tatu bila
Sent using Jamii Forums mobile app
kateni watapitishia Kenya kenge wakubwa nyie kwani mlitumwa mumsomeshe huyo dikteta kwa ujinga wenu na umbumbumbu wa viongozi wenuWaganda wakitubania kwa kutaka sifa ya unbeaten record kwenye qualifying tutakata lile bomba la mafuta la Hoima lisipeleke mafuta Uganda... Tutamsaidia kagame kumchapa na tutamtoa madarakani Museven. Kwanza Rais wao kasoma bure pale UDSM kwa jasho lwru Watanzania.
Waganda msituchezee kabsaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,naomba uniheshimu kama ninavyokuheshimu. Ungeweza kujadili mada bila kutweza tasnia au kazi yangu. Tumia hekima kuliko jazba na chuki
The trend to continue
Endelea kujidanganyaHii mechi ilishachezwa mezani tangu zamani. Stars anashinda za kutosha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du kumbe wameenda kuloga ? Leo ndo watadata na kuamini kuwa uchawi hausaidii kwenye football.Nasikiaga bwana yule kwenye kamati ana Waganga km Laki tatu hivi nadhani ndo maana wanajiamini watashinda na Lesotho atafungwa ili tufuzu na bia ziwe nusu bei japo hapo kwenye nusu Bei Nani atafidia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ?? ???UGANDA WAMEKUBALI KUTUACHIA TUWAFUNGE, MECHI HAINA RADHA TENA